Uliza swali lako kuhusu CFD, Options, Bonds, Stocks and Currency Trading (Forex)

Anza kujifunza trading psychology itakusaidia kujibu maswali yako.hili gemu ni gumu. Kuna muda utafika utajijibu maswali hayo mkuu na utanishukuru.
Remember success cannot be bought or transferred but through what
dah mkuu ni kweli, maswali mengi huwa yankuja kichwani mwangu nikijaribu kyaserch google sometimes hayapo.. ila kuna muda sijui huwa miujiza nikiwa sina kazi kuna muda dishi la kichwa huwa linatuliaa najikuta tu majibu yanaanza kuja taratitu na hapo huwa naturiaa vizuri nachukua karamu na limu pepa, naanza kuyaamishia kwenye karatasi hadi yote yanaishaa.. then najiuliza mbona mwanzo nilishindwaaa??? ahaaaaa! basi natunza ile karatasi kama kumbukumbu... siku zikipita nikisoma ile karatasi naanza kucheka najiuliza tena hivi haya majibu ningeyapata wapi???
leo tena baada ya weekenk hii kuchungulia chati. pair ya USD CAD naipenda hiyo.. nikasema ngoja nijipime kama market ikifunguka jumapili usiku itanipa pesa.. nikatest kwa demo.. kilichotoke ni opposite halafu palitokea big moves dah nikasema ningepatia hii kitu kwa real money ningelala baa kabisaaa
 
Jibu zuri sana.
Ahsante mwl.rct Kama umenielewa Ila navyojua mwingine atamaindi na tangiapo nachoona mie ni sahihi sio lazima kiwe sahihi kwako pia.
Tafuta kaunta book zuri la quire 4 mkuu uwe unaweka samari za kutosha.
Mwishowe kabisa utakuja kujua kuwa ni mindset will make your equity curve slope positive
 
ahaaa ndio bado sanaaa mkuuu
 
dah nipo napambana tu mkuu taratibu
 
mkuu kuhusu price inapimwa kwa pips sio time. nami kuna sehemu kwenye website flani niliikutaa kaeleza hivyohivyo namii nikachukua hivyohivyo. kichwani nikajiuliza kwamba labda momentum ya markets kuwa kubwa inapimwa na muda.. kwamba kitu kimemove sana kwa muda mfupi ndo tuseme kwa kwamba kuna high demands au supply kwenye market.
 
Kuchora chora hayo ma trend lines ,S&R hayatakusaidia kitu.

Jifunze demand and supply maana soko lolote like duniani hata pale kariakoo bei ya bidhaa inategemea imbalances , supply and demand

Jifunze deep accumulation and distribution.

Kwaheri
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo mwishini nmecheka sana!

Ni kweli pesa ipo kwenye meta 4 au meta 5 na inaonekana kabisa inavyotembea, ila kuibeba sasa
 
Kuchora chora hayo ma trend lines ,S&R hayatakusaidia kitu.

Jifunze demand and supply maana soko lolote like duniani hata pale kariakoo bei ya bidhaa inategemea imbalances , supply and demand

Jifunze deep accumulation and distribution.

Kwaheri
nami ndo naumiza akiri kujifunza demand and supply, nipe hata hints tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo mwishini nmecheka sana!

Ni kweli pesa ipo kwenye meta 4 au meta 5 na inaonekana kabisa inavyotembea, ila kuibeba sasa
dah yaani hizi graph pasua kichwa, mbaya zaidi ukatapo tamaa tu, ukicheki maspkes makubwa unaona ona unaacha kabisa pesaa bila sababu unarudi tennaa
 
ukiweza kujua haya , forex itakuwa rahisi
1.TIME confrmation, je muda umefika nijitose baharini?
2.DIRECTION, je itaenda juu au chini
3.MOMENTUM, Je kama muda umefika,na nimeona itaenda upande huu, sasa je itatembea kwa wingi wa pips (distance) kiasi gani?
4.TRADE PLANNING, sasa kama yote haya nimejua nitupie fedha kiasi gani, na lot size gani,kwa stop loss ya pips ngapi, kwa reward ya ngapi? ili nipate samaki bahari ya MT5 au MT4?, kisha niwthdraw samaki kwenda bank au mpesa, ili niweze kuspend duniani kwa kuwa na chakula,mavazi,nyumba,usafiri n.k
ahaaa! wajumbe ni kwa leo ubongo umefikiria hayo tu.
 
wajumbe leo nimefikiria haya

1.you have to let win dump money sometime so they keep playing(balack jack theory). kwamba unachopata ni cha mwenzako kapoteza.
2.market move up and down because of the psychology of the participants and not stupid lines drawn on the charts.
3.wajumbe, who progrramed the forex markets? and if he or she still alive , i think have a deep pocket of money because he know all stuff make the market move.
4.wanasema look deep into NATURE and then you will understudy every thing better(Albert Einstein), nature means homeginity.wajumbe what is the nature of the market??. if we understudy nature (tabia asilia ya market) then we understudy what price is doing now and will do in future(mwenendo wa bei)
5.If supply and demand move the market i think what cause the supply and demand to increase or decrease is due to FEAR(woga) and GREED(urafi) of the parcipants(PSYCHOLOGY)
6.Forex is the mental business, before you do any thing you need to REASONING.
7.Wajumbe nimeanza kusoma ACCUMLATION and DISTRIBUTION kama alivoshauri ndugu "mtanzanyika Huru Said" ila namuomba naye aje atupe hints kidogo



 
Kuchora chora hayo ma trend lines ,S&R hayatakusaidia kitu.

Jifunze demand and supply maana soko lolote like duniani hata pale kariakoo bei ya bidhaa inategemea imbalances , supply and demand

Jifunze deep accumulation and distribution.

Kwaheri
Hiyo demand and supply zone si ndiyo support & resistance mkuu au labda una maana gani utueleweshe vizuri. Hayo maneno sijui accumulation na distribution ni maneno ya kuuzia vitabu tu ila Msingi wa fx market ni Support ( Demand zone) na Resistance (Supply zone). Hata mimi huwa sipendi kuchora hizo support & resistance lines na trend lines nilizichora wakati nikiwa newbie tena kwa muda mfupi tu nakajiongeza nikatafuta njia rahisi ya kujua support (demand/oversold zone) na resistance (supply/overbought zone). Ila kwa newbie hapa bongo lazima wapitie hiyo hatua ya kuchora hayo ma mistari maana walimu wengi ndio wanayofundisha hayo maana hawawezi kutoa holy grill strategies zao kwa wanafunzi ( selfish nature ya mwanadamu).
 
sawa mkuu mi bado nayachora kila siku, tungeombaa utufungue nasisi jinsi ya kuidentify demand na supply zone bila kutumia misitali.
 
sawa mkuu mi bado nayachora kila siku, tungeombaa utufungue nasisi jinsi ya kuidentify demand na supply zone bila kutumia misitali.
tutakushukuru mkuu ukitufungua macho hata kidogo
 
tunauza thamani ya kitu, na sio tunauza kitu sawa mkuu uko vizuri sanaa kwama sio lazima umiliki kitu eg. mchele ndo upate pesa ila unaweza kuwa mchambuzi wa mwenendo wa mabadiliko ya bei ya mchele, na ukapata pesa zaidi ya mmiliki wa mchele, unaweza ukafanya speculation ya mchele, na ukapata pesa ukanunua mchele, na ukaweka stoo uwo mchele kwa muda flani kulingana na uchambuzi wakoo then ukasell ukapata faida. so at the same time umefanya business kama speculation na pia ukafanya business kwa kumiliki mchele
 
very simple!

kama 'mwanafunzi' atashindwa kuelewa hii 'submision' ni Sawa wanaposema 'Trading is Not For Everyone'.
 
very simple!

kama 'mwanafunzi' atashindwa kuelewa hii 'submision' ni Sawa wanaposema 'Trading is Not For Everyone'.
sisi hatumiliki sarafu, hatuuzi wala kununua sarafu wanaofanyaa hivyo ni wale wanaohusika mojakwamoja kwenye mtandao wa ECN, ila wewe unatumia mtandao mwingne wa broker unakuwezesha kuchambua mienendo ya bei inayotokea kwenye ECN network, ukikula broker anakulipa au atajua mwenyewe wapi achukue pesa akulipe na ukipoteza broker anachukua hela yako uliorisk kwa positions zako.. so unafanya speculation ya VALUE increase or decrease ya sarfu flani na sio unamiliki sarafu husikaa
kwa vile mfano broker ana wateja 1000, mala nyingi wanaofanikiwa ni wachache, so unakuta hasara anayopata say watu 100 ndo winners anachukua loss ya watu 900, then anakulipa chapu hapo hajagusa mtaji wake, na bado anakula spread kutoka kwakwo, so kufilisika kwake ni ngumu sana, unless winners ni wengi kuliko loosers! inampelekea kuanza kutumia capital yake kulipa wanaowin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…