Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madereva wa daladala bado mafala ukiuona hivyoKwa nini hospital ya mirembe ilijengwa Dodoma? Mna matatizo gani?
Duh sijakuelewa 🙆🏼♀️Madereva wa daladala bado mafala ukiuona hivyo
Mafala waje dar wajifunze kwa wezao walivyoshapDuh sijakuelewa [emoji2300]
Kwani Dodoma Kuna daladala?naona kama vile singida tu wanaotumia Sana bajaji ngoja nije nitembee siku moja nikague kama zipo daladala nilete HICHER yanguMafala waje dar wajifunze kwa wezao walivyoshap
Nzogole pakoje mkuu?,Kunafaa kujenga nini?Habari Ndugu zangu?
Nipo Dodoma (Makao Makuu ya Tanzania) kwa miezi kadhaa sasa.
Kama una Swali lolote kuhusu Dodoma, unaweza kuniuliza.
Nipo tayari kujibu Maswali yenu.
MODS naomba marekebisho kwenye Heading badala ya "Ulicho" iwe "Uliza"
Unafahamu wanapokaa ukoo wa ndungai!??Habari Ndugu zangu?
Nipo Dodoma (Makao Makuu ya Tanzania) kwa miezi kadhaa sasa.
Kama una Swali lolote kuhusu Dodoma, unaweza kuniuliza.
Nipo tayari kujibu Maswali yenu.
Wagogo- hawa mliowazoea wapo wilaya za chamwino, bahi kongwa na baadhi ya sehemu za wilaya ya mpwapwaMkoa wa Dodoma una makabila mangapi?
Wagogo wa Dodoma watani zao ni makabila yapi?
Ukiona hivyo ujue Dodoma ililazimishwa tu kuwa jijiKwa nini daladala za Dodoma pale Sabasaba haziondoki stendi hata kama siti zimejaa mpaka watu wasimame na kujazana sana?
Unafahamu wanapokaa ukoo wa ndungai!??