Biashara za mtandaoni nyingine zinaambatana na picha ya kitu kinachouzwa, picha huwa nzuri na ya kuvutia nahisi wengi huweka picha za kudownload lakini ukiletewa kitu chenyewe kinakua sio cha kuvutia kama kwenye picha. Je nini kifanyike kuepuka hili?
Naomba mwongozo kufungua sponsored page za fb na instagram
Asante sana nliifungua tayari hio page ila kwenye malipo ndo sikukamilisha na nliona kama gharama sana halaf coverage yake inakua ndogo nitashkuru sana ukiishea hio naomba pia uwekee mkazo sehem ya namna ya kupromoteHakuna kitu kinachoitwa sponsored page. Ila kuna sponsored post ambayo ni post za Facebook au Instagram zinazolipiwa kwa ajili ya kuendesha matangazo.
Kufanya hivyo fuata hatua zifuatazo:
Japokuwa kuna maelezo ya kina natumai utakuwa umepata mwanga.
- Hakikisha una kurasa ya biashara kwenye Facebook (business page). Kwa maelekezo jinsi ya kufanya hivyo, kasome blog post yetu ya 'Jinsi Ya Kuanzisha kurasa Ya Biashara Kwenye Facebook' hapa.
- Weka tangazo lako kwa kufuata linki ifuatayo: Se connecter à Facebook | Facebook
- Chagua aina ya tangazo unalotaka
- Walenge watu husika
- Chagua wapi unataka tangazo lako lionekane. Hakikisha Intagram inakuemo katika chaguo lako.
- Lipia tangazo lako. Kufanya hivyo utahitaji visa/mastercard au paypal.
Nategemea siku za karibuni kuandika post ya kina ya Jinsi Ya Kuweka matangazo kwenye Facebook na Instagram. Nita share humu ili na wewe upate faida.
Asante sana nliifungua tayari hio page ila kwenye malipo ndo sikukamilisha na nliona kama gharama sana halaf coverage yake inakua ndogo nitashkuru sana ukiishea hio naomba pia uwekee mkazo sehem ya namna ya kupromote
Hiki ni chakula,mboga. So wanaume kwa wanawake wananunua. My target ni jamii nzimaUnawalenga nani?
Hiki ni chakula,mboga. So wanaume kwa wanawake wananunua. My target ni jamii nzima