Uliza swali lolote kwenye masomo (PCM/PCB/PMC)

Impressive
 
Nyie mnabakia kuwa machizi tu. Pesa wanapiga Wahasibu.

What is the Philosophy of Ecosystem, calculated by branches of the Universe and earth rotations with regards to its original revolutions spheres ?

Mtakufa mkishindwa kujenga hata chumba kimoja, na kusomesha watoto wenu, mkibakia kuropoka nonsense kwa Community kila asubuhi.

Na mtakufa kwa umasikini kwa kujiona mmesoma sana kumbe ni wapumbavu wa kutupwa.

Nijibu swali langu la hapo juu kwa kuonesha marejeo husika ya kuanzia mwaka 2020.
 
Nchi hii umekuwa maskini kwa kugraduetisha wasomi wengi wapumbavu wasio weza hata kutengeneza teethstik.

Wasomi wanaotegemea mshahala wa Serikali tu basi, na kuendelea kulopoka nonsense.
 
Na hili ni mojawapo lina ona kusoma ni kulopoka tu basi, na kujibu maswali yenye majibu tayari.
 
Kwan nini ukiwa weka maji ya baridi kwny Chupa ya plastic kuna majiji yanatokea nnje ya chupa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…