Black-Playstation
Member
- Jan 14, 2017
- 88
- 26
- Thread starter
-
- #41
So means unachotaka uone message yangu ya mpesa well that's easy, but how are you going to know it's really proof or not?mkuu kaa ushawahi toa pesa kuja mobile money nitumie proof hata pm nitafuta comment zangu zote.
Pure price action.onlyNdugu wewe unatumia strategy gani aise?
Hapana,jamaa anakazana sana..haha anajua faida yakeHahaha vp kavujisha ama 😀🙂😛
ontario ndo nani? ndo nakusikia ww tuelezeMlipopigwa pesa na Ontario bado hamjakoma eeh?
Waulize wahanga wake wakupe habari kamiliontario ndo nani? ndo nakusikia ww tueleze
Dah sasa ulianzisha kitu ambacho huwez kukimalizia ndo nnWaulize wahanga wake wakupe habari kamili
Acha wapigwe tu wananajifanya hawasikiiDaah huyu mdogo ake Ontario naona wanataka kuitapeli wanaJF wote...
Hahaa well opinion zinakaribishwabinti koini...... usisubutu, ela yako bora unywe bia
Hizi pesa za ku download mtakuja rudi mnalia humu
#nasemajehakunapesarahisi
Utapigwa huku kama hujui unachofanya, hakuna tofauti na maisha ya kila siku japo watu hawesemi wanapigwa wanakaa kimyaAcha wapigwe tu wananajifanya hawasikii