nashukuru kufahamu, tulivyoenda alituambia ni weeks 32Du kweli tunishi ulimwengu tofauti. Kuanzia wiki nane lakini kwa uhakika zaidi baada ya wiki ya 20 wanaweza kuona ama kujua jinsia ya mtoto.
Hongera ileeni mimba salama na nawakieni kila la kheri
Ultrasound Haina Madhara yoyote kwa mama Na mtoto!Sasa swali langu je haina madhara kwa mtoto na mama ?
Madhara yapo japo kwa uchache na ndio maana anashauriwa kunywa maji mengi kabla ya kupigwa pichaSasa swali langu je haina madhara kwa mtoto na mama ?