PRESIDA TO BE..
JF-Expert Member
- Dec 12, 2012
- 302
- 200
Bei hutegemea na hospitali na aina ya uchunguzi daktari anaotaka kufanya . Kama xray ya kifua na mguu hutofautiana. Inaweza kuanzia 30,000 hadi laki na ushee depending on the above.

Mkuu hiyo ni kwa hospital ya private au serikali??