S siata Member Joined Dec 23, 2010 Posts 31 Reaction score 26 Apr 8, 2012 #1 Naombeni ushauri wa kitabibu wanajamvi.ndg yangu ni mjamzito ana wiki 34 sasa kwa mahesabu yake.lkn kipimo cha ultra sound kinaonesha ana wiki 37.sasa anashindwa aamini kipimo au hayo mahesabu yake ili iwe basis ya yy kuomba Likizo ya uzazi.
Naombeni ushauri wa kitabibu wanajamvi.ndg yangu ni mjamzito ana wiki 34 sasa kwa mahesabu yake.lkn kipimo cha ultra sound kinaonesha ana wiki 37.sasa anashindwa aamini kipimo au hayo mahesabu yake ili iwe basis ya yy kuomba Likizo ya uzazi.
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,767 Reaction score 23,198 Apr 8, 2012 #2 mie ningemshauri aamini kipimo,