Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wakikupa majibu tofauti unakuta ni siku moja au mbili tu unakua haiko mbali na ukweliNimemsindika mjamzito hosp 3 tofauti, kila anavyopima utrasound anatajiwa week tofauti. Kote majibu hayafanani.
Mimi hiki kipimo kwenye makadirio ya ujauzito sikiamini kabisa, kinaweza gombanisha wanandoa.
Sisi tofauti zilikuwa ni wiki 1 hadi 3 mkuu. Feature nyingine zote wanafanaa maelezo ila linapokuja suala la siku, kila mmoja anatutajia wiki zake.Hata wakikupa majibu tofauti unakuta ni siku moja au mbili tu unakua haiko mbali na ukweli
Ingia google tafuta due date calculator kisha ingiza tarehe zake alizoona siku kwa mara ya mwisho na detail zingine watakazouliza utapata majibu yuko wiki ya ngapi na tarehe ya matarajio ya kujifungua ni lini. Then kutoka hapo unaweza kulinganisha na majibu ya hizo ultra sound uone kama kuna inayomatch.Sisi tofauti zilikuwa ni wiki 1 hadi 3 mkuu. Feature nyingine zote wanafanaa maelezo ila linapokuja suala la siku, kila mmoja anatutajia wiki zake.
Ingia play store download Pregnacy app inaitwa AMILANimemsindika mjamzito hosp 3 tofauti, kila anavyopima utrasound anatajiwa week tofauti. Kote majibu hayafanani.
Mimi hiki kipimo kwenye makadirio ya ujauzito sikiamini kabisa, kinaweza gombanisha wanandoa.
Yah... Kam mtu c mbobez mana technology yoyote relies in zeros n ones since al are very computerized!Masaada toka kwa madaktari wenye utaalam wa hii technologia na wenye ushuhuda - hivi ultrasound inaweza kuongeza au kupunguza wiki za mimba?