YoungAge.org
Member
- Aug 10, 2012
- 46
- 12
Naona vijana wengi wastaa wa bongo wanaandamwa na kashfa na maskendo kila kukicha. Wengine uzinzi, wengine utapeli na wengine walifikia kuchomana visu. Nini kinapelekea hali hiyo? Kwani haiwezekani kuwa staa bila kuwa na skendo?