Umaarufu kaaazi kweli kweli...muone Diamond anachofanywa

sasa chibu asipojipodoa unafikir video itafaa tizamama jaman si atakuwa kama yule mheshimiwa. mwacheni
 
Dogo chibu anajua sasa proma aisee
Unaambiwa hivi sasa media za south habari ya mijuni ni Diamond tu anapigia promo nana na kuitangaza ngoma yao mpya na domald wa sauzi
 
Haijalishi...lakini daaaa.....kwakweli ina sikitisha sana tena sana....kumbukeni kuna siku atakuja kutaka kugombea hata ubunge tu sijui siku hiyo atapotangaza nia itakuwaje...

punguza ulimbukeni. na tembea kidogo upate ufahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…