Umaarufu (sifa) chanzo cha kifo cha Dj Arafat

Yuko mmoja hapa mtaani kwangu,simuombei mabaya ila dah jamaa anajiamini sana,hizo show kama alizokuwa nafanya huyo marehemu hapo juu huwa anazifanya sana...
DJ Arafat
 
Rest In Protons.

"It's I-ya Jeremiah, conceived through the blunt fire
On Kawasakis could wheelie up on one tire"

AZ- "The Format"
 
Tupe shule apa
AZ ni rapper maarufu wa New York City, hapo alikuwa anajitapa jinsi anavyoweza kurusha pikipiki kwa tairi moja kama marehemu.

Ni michezo fulani ya hatari lakini hawa ma celebrity wa muziki wengine wanapenda kuifanya.

Nilivyosikia habari za huu msiba, nikakumbuka hii mistari.
 
Video tafadhali ama [emoji821] link yake
 
Ujinà wote huo kwasababu ya kumkomesha mwanamke au. Maajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…