Umaarufu Tanzania unalipa?

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Hivi ukipata kazi ambayo itakufanya uwe maarufu tanzania.
Utaikubali haraka??????
Je kuwa maarufu katika nchi hii kuna faida?
Kama una ndugu yako anataka kufanya shughuli
kama ya muziki au utangazaji wa tv ambayo itamfanya awe
maarufu utamshauri vipi???

Mimi naona umaarufu nchi hii ni kama mkosi....

Yaani ni kuchafuliwa jina tu magazeti ya udaku,
na vipato vyenyewe sioni kama vinaendana na umaarufu wenyewe.
 
Ina tegemea umaarufu umeupata kupitia nini na "kulipa" kwako ni nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…