Pre GE2025 Umaarufu wa CHADEMA waongezeka mara dufu, Vyombo vya habari vya Kimataifa vyaripoti kushikiliwa viongozi wao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Una maanisha yale madufu ya madrasa au?
 
Wewe mbona sikukuona huko Mbeya? Kumbe wewe ni mwoga kiasi hicho unawaacha watoto wa walalahoi ndio wapate kipigo? Vipi Sugu na Lissu wanaendeleaje?
 
Umaarufu kimataifa, una tija kweli ndugu ? Ndani je ?
 
Reactions: UCD
Hivyo vyombo vya habari vitapiga kura?
 
Kura zinapigwa hapa Tanzania- pateni tu umaarufu wao wapate kura za kuwapekela ikulu na kushika dola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…