Umaarufu wa instagram wa kuchafuana

aikambe

Member
Joined
Jul 5, 2014
Posts
90
Reaction score
14
Umaarufu wa insta, watu wanapenda umaarufu kupitia kwa kutoa matusi kushadadia ugomvi kuwasimanga wenzao kujiona wao n wasafi kuliko wenzao. Huyu dada ganya1984 ameolewa na mume wa mtu ambae ana watoto wakubwa kumzidi na mtu anamzidi baba yake umri huyu baba ni mmiliki wa shule za thaqafa anaitwa maruzuku magongo, ila ndo kwanza
Hajiheshimu, anatembea na vijana wadogo, na kuwasumbua wengine insta.
 
Ndio umeandika nini sasa? Ganya ameolewa ganya mume wa mtu!!!. Hivi kwa nini vijana werevu hawazaliwi siku hizi?
 
sasa huyo ganya ni celebrity!" au ni ww unataka kujipa promo ......... kila m2 akianza kuleta thread za wa2 wake wa kwnye insta patakua hapatoshi hapa.

Grand PA
 
Siku hizi huko insta kila mtu celebrity....
 
me sijaambulia kitu..kunywa chai kwanza utulie ndio uje uandike upya tukuelewe..PIA USISAHAU PICHA
 
Mxeeeeeeeeeew... Muone unavoandika na mapovu yanakutiririka hadi unakosea kuandika, hayo ya insta si ukaandike kwenye page yako unatuletea huku tufanyaje sasa?????
 
Haya maneno umeshindwa kuyaandika kwenye page yake??????




 
aikambe ndugu yangu haueleweki.....re-read what u wrote then come back...kama ni paparazi get mchemsho wa vichwa vya kuku with lotta chillies
 
Insta watu wanautafuta umaarufu kwa nguvu zote na wewe ungeenda ku comment kwenye page yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…