Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba team kubwa babaPamoja na mambo mengine, kitu kilichowapa umaarufu mkubwa Simba ni hili yukio. Hongera zaoView attachment 2363395
Pamoja na mambo mengine, kitu kilichowapa umaarufu mkubwa Simba ni hili yukio. Hongera zaoView attachment 2363395
😁😁😁 Naona watu wamenuna ghafla!☹️ Maana walijua wanakuja kusifiwa kuhusu chombo ya fundi kupata uteuzi wa mchongo huko CAF!!
Ukubali ukatae hata caf wenyewe wanaukubali mziki wa simba.
kumbuka Barbra atakuwa anahusika kutoa leseni za wachezaji wa vilabu michuano ya CAF ... View attachment 2364397
View attachment 2364386
Sawa lkn umaarufu wao ulikuzwa zaidi na hili tukioUkubali ukatae hata caf wenyewe wanaukubali mziki wa simba.
Ebu acha kutumia viungi vya ajabu kufikiri. Jibu hojaUnawashwa?
Sisi hatuwezi hizi kaziKama kazi rahisi na nyie mkafanye
Hahahahaaa[emoji16][emoji16][emoji16] Naona watu wamenuna ghafla![emoji3525] Maana walijua wanakuja kusifiwa kuhusu chombo ya fundi kupata uteuzi wa mchongo huko CAF!!
Kumbuka ya RageManara alishamaliza Kuwatambulisha Utopolo wote duniani kuwa nyie 'Hamnazo' ukimtoa dingi na JK.
Ila hizi mnaziweza hapo avic townSisi hatuwezi hizi kazi
Aisifiae mvua imemyeaIla hizi mnaziweza hapo avic town