Umaarufu wangu jf ni UPI?

Umaarufu wangu jf ni UPI?

Pia unadhani Mimi ni MTU wa namna gani kulingana na post zangu?
 
Ni bahati mbaya sijawahi kuiona hii id. Samahani sina kitu kizuri cha kukwambia ili uridhishe ego yako.

Kama uko mpweke unataka wa kuongea naye. Karibu.

Tutachati hapa hapa
 
Back
Top Bottom