kwa jf anatumia jina gani huyu?
Mbaga Jr hizi zinafaa? 😂😂😂.
Shida ni je ana haiba ya kike au ndiyo ilimradi ana jinsi ya kike basi sogea tuishi?View attachment 3684352
“Wanaume hawaji karibu nami. Hata hawajaribu. Wananiona kama mtu asiyeweza kufikiwa, lakini hakuna mtu ambaye hawezi kufikiwa. Sisi sote ni binadamu. Sote tuko sawa, kila mmoja ana thamani yake, na sote tunastahili kupendwa na kuheshimiwa kwa usawa.
Sijawahi kujiona kuwa bora kuliko mtu mwingine kwa sababu tu ninajulikana. Kwa kweli, wakati mwingine hata sipendi maisha haya ya umaarufu. Nyuma ya umaarufu, umakini wa watu na soka, bado mimi ni mwanamke wa kawaida ninayetaka kupenda na kupendwa.
Bado sijawa na mwenza katika umri wangu huu. Na wakati mwingine, dunia inapokuwa imetulia, nalala peke yangu kitandani na kulia. Kwa sababu hata kama ninaonekana kuwa mwanamke mwenye nguvu kiasi gani, bado inauma kujisikia mpweke. 💔🥺
Je, watu huwaepuka wanawake waliofanikiwa kwa sababu wanaona hawawezi kufikia kiwango chao? 🤔
Ni mchezaji wa Madrid ya wanawake na Spain National TeamShida ni je ana haiba ya kike au ndiyo ilimradi ana jinsi ya kike basi sogea tuishi?
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Ukapigwa bunYule Gunner yupo humu ? Anayetaka Mwanamke wa kizungu ? 😃
Inasikitisha sanaBado sijawa na mwenza katika umri wangu huu. Na wakati mwingine, dunia inapokuwa imetulia, nalala peke yangu kitandani na kulia. Kwa sababu hata kama ninaonekana kuwa mwanamke mwenye nguvu kiasi gani, bado inauma kujisikia mpweke. 💔🥺
Shida ni je ana haiba ya kike au ndiyo ilimradi ana jinsi ya kike basi sogea tuishi?
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Haiba ni tabia ya kike si picha.Picha huoni ?
Haiba ni tabia ya kike si picha.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.