Umachinga au Ujasiriamali ni hatua ya kutoka katika uchumi mdogo kwenda uchumi wa kati na baadae uchumi wa juu

😍😍
 
Hongera sana Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Rais Samia ameongeza wanafunzi 29,000 kwenye mikopo ya elimu ya juu HESLB kwa miezi sita tu,

miaka mitano mfululizo iliyopita tulifanikiwa wanafunzi wapya 32,000

Unaisemaje kasi ya Rais Samia?
Ndio
 
Asante sana mama
 
Machinga wamemwelewa mama
 
Safi sana hii, Tanzania nakupenda sana,

Hakuna Kama Rais Samia😍😍
 
 
Machinga chukueni muda kusoma hii, Mimi nimeipenda sana
 
Machinga chukueni muda kusoma hii, Mimi nimeipenda sana
Uzi wa kifala huu. Machinga anaondolewa sio kusaidiwa ila kupisha wageni wapite mabarabarani vizuri wala wassiibiwe na wamachinga wanaojificha kwenye mabanda hii ni kwa mujibu wa yule aliyeokota urais.
 
Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
 
huo umachinga sijui ujasiriamali ni tiketi ya kuigeuza nchi kuwa jalala la bidhaa feki na zisizo na ubora FYI na sio daraja la kufikia uchumi wa kati.

mataifa yaliyoendelea yaliwekeza Kwanza kwenye kilimo Bora then sayansi(maarifa na ujuzi/elimu) na teknolojia(nyenzo, vifaa au zana Bora) ndipo wakafanya mapinduzi ya viwanda vilivyoleta huo uchumi wa kati angalia mfano wakati Tanzania tunawekeza kwenye kilimo kulikua na viwanda kiasi gani ukilinganisha na sasa tunapoongelea umachinga?

tatizo sasa hivi kuna kundi la machawa wao kazi yao ni kusifu na kuambudu ili kupoza matumbo yao lakini sio kusimama na kushauri au kutoa mawazo mtambuka kwaajilo ya maendeleo endelevu by the way Tanzania tunarudi nyuma badala ya kwenda mbele ie viwanda vimeuzwa na kugeuza maghala ya kuhifadhia bidhaa kutoka Asia na Ulaya mashamba makubwa nayo ndio hivyohivyo yamebinafsishwa kwa wawekezaji kanjanja ambao wameyafanya dhamana ya kukopea kwenye mabanki kwajili ya kupata mitaji ya kuagiza bidhaa nje.

siasa safi ilitakiwa kuwa chachu ya kuzogeza gurudumu la maendeleo lakini sasa siasa ni za matumbo ya wachache kula mema ya nchi halafu wananchi walio wengi wanabaki kwenye Lindi la ufukara na kulamba nyayo za watawala.
 
Uzi wa kifala huu. Machinga anaondolewa sio kusaidiwa ila kupisha wageni wapite mabarabarani vizuri wala wassiibiwe na wamachinga wanaojificha kwenye mabanda hii ni kwa mujibu wa yule aliyeokota urais.
Khaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…