Umachinga au Ujasiriamali ni hatua ya kutoka katika uchumi mdogo kwenda uchumi wa kati na baadae uchumi wa juu

Kazi nzuri sana
 
Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
DIPLOMASIA YA KUPEANA KESI UCHWARA ZA UGAIDI.
 
Mama we proud on you
 
Leo ndio nimeona umuhimu wa Safari za nje za Rais,

Wawekezaji 111 kwa mpigo huku 40 niwawekwzaji wakubwa kabisa,

VIVA SAMIA VIVA||VIVA TANZANIA VIVA
 
Prof. Anna Tibaijuka na Frederick Kaijage walifanya utafiti kwanini umachinga ulitokea Tanzania na sababu zake halisi ni kuwa sera za operesheni vijiji vya ujamaa ndiyo chimbuko la kuchochea umachinga :



https://digitallibrary.un.org › record
Poverty and social exclusion in Tanzania / - United Nations Digital ...

Kaijage, Frederick.; Tibaijuka, Anna Kajumulo. ... Poverty and social exclusion in Tanzania / Frederick Kaijage, Anna Tibaijuka



Soma uzi huu wa mwanaJF :



PIA SOMA UZI HUU WA MWANA JF


 
 
Nzuri sana hii
 
#happy birthday Tanganyika
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 
Kama kuna Rais wa Ukweli Tanzania tumepata basi ni huyu mama,

#MAMA KAZIIENDELEE
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Najaribu kuwaza kwa Sauti kama sio Rais Samia Suluhu leo Tanzania tungekuwa wapi?
 
Kwa speed hii ya Rais Samia, Tanzania huenda ikaibua mabilionea wapya 100 miaka miwili ijayo,Tufanye kazi kwa bidii zaidi
 
"Team JF "

Kama maambukizi ya COVID -19 yanaongezeka siku hadi siku, nilazima kuchanja kwa hiari ili kujinga,

#Kuwa Supa kachanje,
 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 

Ujasilimali sio umachinga. Ujasilimali maana yake ni kufanya biashara wakati umachinga ni neno lenye maana ya watu wanao uza vitu ambayo sio vyao kidalali na zamani wakati neno machinga linakuja walikuwa hawana vibanda kabisa walikuwa wanatembea tu hasa stendini na kwenye masoko.
 
Maana ni hiyo hiyo mkuu,
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…