Na wanaelekezwa kabisa sehemu ya kwenda kujificha ila hawashitukiKuna majina na mpaka namba za simu sasa hamjiulizi kwanini mpaka leo hawajakamatwa. Na wenyewe wajinga jinga wanaambiwa kajificheni kumbe ndiyo wanaenda kuuliwa huko. Tatizo la Watanzania hatujipi muda wa kufikiria kiutalaamu
wenyewe wajinga jinga wanaambiwa kajificheni kumbe ndiyo wanaenda kuuliwa huko. Tatizo la Watanzania hatujipi muda wa kufikiria kiutalaamuKama mnawafahamu waambieni wajitokeze mapema na na kutubu kabla nao hawajauliwa.
Info tulizopata wale wote waliompiga risasi Lissu vijana wawili na boss wale wote hatunao tena. Boss wao alipata ajali ya kutengenezwa na wale waliuliwa . Hao maboss wa juu ndiyo mafia wenyewe wako tayari kuwauwa hao polisi waliotumwa bila hata kujali. Kuna majina na mpaka namba za simu sasa hamjiulizi kwanini mpaka leo hawajakamatwa. Na wenyewe wajinga jinga wanaambiwa kajificheni kumbe ndiyo wanaenda kuuliwa huko. Tatizo la Watanzania hatujipi muda wa kufikiria kiutalaamu
Fala kweli weweDamu ya huyu mtu ni hatari sana, naiona effect yake Sasa kwa taifa Zima, hakika Kuna watu siyo wa kuchezea kabisa.
Kama mnawafahamu waambieni wajitokeze mapema na na kutubu kabla nao hawajauliwa.
Info tulizopata wale wote waliompiga risasi Lissu vijana wawili na boss wale wote hatunao tena. Boss wao alipata ajali ya kutengenezwa na wale waliuliwa . Hao maboss wa juu ndiyo mafia wenyewe wako tayari kuwauwa hao polisi waliotumwa bila hata kujali. Kuna majina na mpaka namba za simu sasa hamjiulizi kwanini mpaka leo hawajakamatwa. Na wenyewe wajinga jinga wanaambiwa kajificheni kumbe ndiyo wanaenda kuuliwa huko. Tatizo la Watanzania hatujipi muda wa kufikiria kiutalaamu
Watu makini hujifunza kwanza kwenye Kila kitu. Watu wapumbavu tayari Wana majibu ya Kila kitu!!wenyewe wajinga jinga wanaambiwa kajificheni kumbe ndiyo wanaenda kuuliwa huko. Tatizo la Watanzania hatujipi muda wa kufikiria kiutalaamu
Ndugu yanguKama mnawafahamu waambieni wajitokeze mapema na na kutubu kabla nao hawajauliwa.
Info tulizopata wale wote waliompiga risasi Lissu vijana wawili na boss wale wote hatunao tena. Boss wao alipata ajali ya kutengenezwa na wale waliuliwa . Hao maboss wa juu ndiyo mafia wenyewe wako tayari kuwauwa hao polisi waliotumwa bila hata kujali. Kuna majina na mpaka namba za simu sasa hamjiulizi kwanini mpaka leo hawajakamatwa. Na wenyewe wajinga jinga wanaambiwa kajificheni kumbe ndiyo wanaenda kuuliwa huko. Tatizo la Watanzania hatujipi muda wa kufikiria kiutalaamu
Unaonaje ukadadavua kwa kina ili tutoke na kitu.Ndugu yangu
Acha wengine tusahau. Babu yangu alikuwa Chuo cha Makere anafundisha Nyerere akamdanganya akarudi Tanzania. Akampa kazi hapo Ikulu baada ya miezi saba yakatokea yale ya Kambona. Akapewa taarifa na dada secretary mipango ya kumuuwa inatengenezwa.
Aliondka kwenda kujificha kijijini alikuwa hapandi gari kwenda popote ila alikuwa anamlaani Nyerere sana. Amekufa mwaka 2021 akiwa na miaka 107. Asante babu alijitahidi kupambana na uhai wako wajukuu zake tukakujua.
Fact.Kama mnawafahamu waambieni wajitokeze mapema na na kutubu kabla nao hawajauliwa.
Info tulizopata wale wote waliompiga risasi Lissu vijana wawili na boss wale wote hatunao tena. Boss wao alipata ajali ya kutengenezwa na wale waliuliwa . Hao maboss wa juu ndiyo mafia wenyewe wako tayari kuwauwa hao polisi waliotumwa bila hata kujali. Kuna majina na mpaka namba za simu sasa hamjiulizi kwanini mpaka leo hawajakamatwa. Na wenyewe wajinga jinga wanaambiwa kajificheni kumbe ndiyo wanaenda kuuliwa huko. Tatizo la Watanzania hatujipi muda wa kufikiria kiutalaamu
Mkuu kosa langu ni lipi?Fala kweli wewe
Wafe haraka sn hakuna namna ya kuwasaidiaKama mnawafahamu waambieni wajitokeze mapema na na kutubu kabla nao hawajauliwa.
Info tulizopata wale wote waliompiga risasi Lissu vijana wawili na boss wale wote hatunao tena. Boss wao alipata ajali ya kutengenezwa na wale waliuliwa . Hao maboss wa juu ndiyo mafia wenyewe wako tayari kuwauwa hao polisi waliotumwa bila hata kujali. Kuna majina na mpaka namba za simu sasa hamjiulizi kwanini mpaka leo hawajakamatwa. Na wenyewe wajinga jinga wanaambiwa kajificheni kumbe ndiyo wanaenda kuuliwa huko. Tatizo la Watanzania hatujipi muda wa kufikiria kiutalaamu
Kama former force official, let me tell you it goes deeper than you understand. Na ukianza kuhoji mawili yakutokee, ushushwe cheo au uhakishiwe kituo kilichoko mbali sanaUnajua Tz hatujui extent ya umafia uliopo huko madarakani ila kiuhalisia ni zaidi ya tunayoyaona kwenye movie.