Umafia: Polisi walio mteka Mdude nao watapotezwa

Inaitwa closing loose ends ili case isiwwfikie wahusika
 
Unaonaje ukadadavua kwa kina ili tutoke na kitu.
Ndugu yangu
Kipindi cha Nyerere wasomi walikuwa wachache na alikuwa anahisi atapinduliwa. Babu yetu alikuwa sio muongeaji sana. Ila waliosoma naye ndiye walikuwa wanawaeleza baba zetu.

Yaani babu aliishi kama njiwa aliogopa akitoa siri watu wataongea japo watu walijua mtu fulani anafundisha Makerere. Walikuwa wanajua ataondoka leo kesho.

Na Nyerere aliuwa ndoto za wasomi kutokana na vitisho vyake vya kuona watanzania ni wajinga. Nilisikia Nyerere aliwarudisha wasomi wengi vijijini na akawaambia wasitoke kwenda popote ndiyo ilikuwa magereza yake.
 
Umenikumbusha Boss nyaulingo DOI. Alikatika Miguu asee.
 
Naona umerithi chuki ya babu yako...Nyerere huyu huyu alietaifisha taasisi za elimu za kanisa akataka watu wote wasome ndio aliua ndoto za wasomi?

Nyerere huyu tunaambiwa Chuo kikuu watu walikuwa wanakunywa mpaka maziwa?

Nadhani wewe ni walee wa mkataba wa MoU😁
 
Lipo wazi sana, deal ikibumburuka unaenda nayo kulinda source!
 
Hata wale waliomwua yule aliyekuwa mkurugenzi wa usalama wa Taifa, walimamatwa, wakakaa mahabusu miaka, wakauawa huko, bila ya kufikishwa mahakamani.
Siku na wewe ukikamatwa unaambiwa uthibitishe unayoongea, mtaanza kuloloma mnaonewa! PUMBAVU!!
 
Kama former force official, let me tell you it goes deeper than you understand. Na ukianza kuhoji mawili yakutokee, ushushwe cheo au uhakishiwe kituo kilichoko mbali sana
Wala sikupingi chief. Kwa haya tunayoyaona kwa macho inafikirisha kuwaza tusiyoyaona.

Kubwa ni kuomba usiingie kwenye himaya yao tu.
 
Hapana bado wawili:
1. John bado yupo lakini alivunjwa vunjwa miguu
2. Daudi B ------, kila siku anaweweseka kuokoka akifikiri ile dhambi atasamehewa-
 
Unajua Tz hatujui extent ya umafia uliopo huko madarakani ila kiuhalisia ni zaidi ya tunayoyaona kwenye movie.
Kabisa mkuu..
Tabgu siku ya mgumu wa kariakoo wanikosekose nimeamini kuna hatari kubwa sana
 
Sioni umafia wowote ule, ninachoona ni ujinga tu unaoendelea kufanywa na wajinga.

Kumuua/kumuumiza mtu yeyote ukiwa kwenye mamlaka unamiliki tools zoote ujue wewe utakuwa mpumbavu, mjinga na muoga kuliko kunguru.
Mtu kama Mdude, hana silaha yoyote, hamiliki kikosi cha Askari wala mgambo, Hana hata bodyguard wala ulinzi wowote binafsi kazi yake ni kuandika na congenital tu eti unampelekea askari na kumteka.
 
Duh, Nyerere alikuwa bwana matata sana japokuwa watu wengi wanampa heshima kwa sababu hawajui alichukuwa anafanya nyuma ya pazia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…