Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
Hivi kwanini huyo RC aliyesuka njama hadi leo bado yupo kwenye ofisi za umma?Kama mnawafahamu waambieni wajitokeze mapema na na kutubu kabla nao hawajauliwa.
Info tulizopata wale wote waliompiga risasi Lissu vijana wawili na boss wale wote hatunao tena. Boss wao alipata ajali ya kutengenezwa na wale waliuliwa .
Hao maboss wa juu ndiyo mafia wenyewe wako tayari kuwauwa hao polisi waliotumwa bila hata kujali. Kuna majina na mpaka namba za simu sasa hamjiulizi kwanini mpaka leo hawajakamatwa.
Na wenyewe wajinga jinga wanaambiwa kajificheni kumbe ndiyo wanaenda kuuliwa huko. Tatizo la Watanzania hatujipi muda wa kufikiria kiutalaamu
huenda walinzi katili sana binafsi wa heche ndio wanahusika na matukio hayo gentlemanKama mnawafahamu waambieni wajitokeze mapema na na kutubu kabla nao hawajauliwa.
Info tulizopata wale wote waliompiga risasi Lissu vijana wawili na boss wale wote hatunao tena. Boss wao alipata ajali ya kutengenezwa na wale waliuliwa .
Hao maboss wa juu ndiyo mafia wenyewe wako tayari kuwauwa hao polisi waliotumwa bila hata kujali. Kuna majina na mpaka namba za simu sasa hamjiulizi kwanini mpaka leo hawajakamatwa.
Na wenyewe wajinga jinga wanaambiwa kajificheni kumbe ndiyo wanaenda kuuliwa huko. Tatizo la Watanzania hatujipi muda wa kufikiria kiutalaamu
Wewe na babu yako wote mlikuwa Maboiya ya kuogeleiaNdugu yangu
Kipindi cha Nyerere wasomi walikuwa wachache na alikuwa anahisi atapinduliwa. Babu yetu alikuwa sio muongeaji sana. Ila waliosoma naye ndiye walikuwa wanawaeleza baba zetu.
Yaani babu aliishi kama njiwa aliogopa akitoa siri watu wataongea japo watu walijua mtu fulani anafundisha Makerere. Walikuwa wanajua ataondoka leo kesho.
Na Nyerere aliuwa ndoto za wasomi kutokana na vitisho vyake vya kuona watanzania ni wajinga. Nilisikia Nyerere aliwarudisha wasomi wengi vijijini na akawaambia wasitoke kwenda popote ndiyo ilikuwa magereza yake.
Hizi habari zilikuwa za kweli?Umenikumbusha Boss nyaulingo DOI. Alikatika Miguu asee.
Kajaa teleHivi mafwele yupo?
Kama sikosei hukumu ilitoka..kama haijatoka basi kesi inaendelea niliona YouTubeHivi wale watekaji wa big tuliambiwa wamekamtwa,kesi yao inaendeleaje na ipo mahakama gani?
🖕huenda walinzi katili sana binafsi wa heche ndio wanahusika na matukio hayo gentleman
Ndugu yangu
Acha wengine tusahau. Babu yangu alikuwa Chuo cha Makere anafundisha Nyerere akamdanganya akarudi Tanzania. Akampa kazi hapo Ikulu baada ya miezi saba yakatokea yale ya Kambona. Akapewa taarifa na dada secretary mipango ya kumuuwa inatengenezwa.
Aliondka kwenda kujificha kijijini alikuwa hapandi gari kwenda popote ila alikuwa anamlaani Nyerere sana. Amekufa mwaka 2021 akiwa na miaka 107. Asante babu alijitahidi kupambana na uhai wako wajukuu zake tuka
Mafyele yupo na ndiye aliyeongoza mahojiano na Tundu Lissu, aende wapi wakati anatekeleza majukumu ya dikteta wa kwanza mwanamke AfrikaHivi mafwele yupo?
Nipo, unasemajeHivi mafwele yupo?
Na akastaafishwa rasmiHizi habari zilikuwa za kweli?
Hivi na wewe kweli katika watu makini pia upo? Tatizo la wapumbavu mmekuwa kama marobot mwenye kuwaprogram Yuko Lumumba nyie ni mwendo wa kutetea Kila upumbavu hata unaoonekana dhahiri.Watu makini hujifunza kwanza kwenye Kila kitu. Watu wapumbavu tayari Wana majibu ya Kila kitu!!
Duuh inasikitisha,wapi huko Mkuu?Ndugu yangu
Acha wengine tusahau. Babu yangu alikuwa Chuo cha Makere anafundisha Nyerere akamdanganya akarudi Tanzania. Akampa kazi hapo Ikulu baada ya miezi saba yakatokea yale ya Kambona. Akapewa taarifa na dada secretary mipango ya kumuuwa inatengenezwa.
Aliondka kwenda kujificha kijijini alikuwa hapandi gari kwenda popote ila alikuwa anamlaani Nyerere sana. Amekufa mwaka 2021 akiwa na miaka 107. Asante babu alijitahidi kupambana na uhai wako wajukuu zake tukakujua.
Hilo pumbavu achana naloMkuu kosa langu ni lipi?
Huko sio kutetea ni kukariri, Halafu eti Dr!Hivi na wewe kweli katika watu makini pia upo? Tatizo la wapumbavu mmekuwa kama marobot mwenye kuwaprogram Yuko Lumumba nyie ni mwendo wa kutetea Kila upumbavu hata unaoonekana dhahiri.
Hebu funua hilo pazia tuone.Duh, Nyerere alikuwa bwana matata sana japokuwa watu wengi wanampa heshima kwa sababu hawajui alichukuwa anafanya nyuma ya pazia.
Hakuna mtu wa kuthibitisha uhusika wao, wote tunahisi tu na sheria haifangi kazi kwa kuhisi, inataka fact.Hivi kwanini huyo RC aliyesuka njama hadi leo bado yupo kwenye ofisi za umma?
RCO ambaye anawaficha wahusika, kwa nini naye bado anatanga tanga kwenye ofisi za umma pia?
Huu utawala unawachukuliaje wananchi linapokuja suala la uwajibikaji?
Time will tellhuenda walinzi katili sana binafsi wa heche ndio wanahusika na matukio hayo gentleman
Kwa nini msiwataje nguvu ya umma ishughulike nao?Waliomteka Mdude wanafahamika, wanaofanya haya matukio ya kumshambulia kiongozi wa dini Padre Kitima ni kikundi cha Chinjachinja kipo kwa siri chini ya umoja wa vijana wa ccm (UVCCM) na Jeshi la Polisi linafahamu kikundi hiki na vingine, linashindwa kuchukua hatua kwa kuwa ni chama tawala.