Umafia: Polisi walio mteka Mdude nao watapotezwa

Wakufweeeeeee tuuu
 
DAB yuko arusha au alikuwa hahusiki kwa TAL
 
Na wenyewe wajinga jinga wanaambiwa kajificheni kumbe ndiyo wanaenda kuuliwa huko. Tatizo la Watanzania hatujipi muda wa kufikiria kiutalaamu. Masikini wale ma-failures wana weak logic and poor reasoning lazma waliwe vichwa watoto wa kimasikini
 
Hakuna mtu wa kuthibitisha uhusika wao, wote tunahisi tu na sheria haifangi kazi kwa kuhisi, inataka fact.
Ok.
Lakini enzi za Nyerere, enzi za uajibikaji, kiongozi wa umma hatakiwi hata kule kuhisiwa kutenda jinai.

Tuhuma pekee inamwondolea sifa za kuendelea kukalia kiti cha enzi.

Potelea kwa mbali hata mhusika asipofikishwa mahakamani, lakini la uwajibikaji lilichukuliwa kwa uzito mkubwa sana.

(Ref to: kashifa ya mauaji ya Shinyanga mwaka 1976) wakati Ally Hassan Mwinyi akiwa Waziri wa mambo ya ndani.

Mwinyi hakuhusika na mauaji hayo lakini aliwajibika kwayo.
 
Kama alilazimishwa je? Ionekane kajiuzulu ili atunze heshima yake je?
 
Hili liko very obvious..

Huwa wakitumwa kufanya deal chafu na watawala wajinga chini ya CCM kisha deal zikaenda vizuri hufurahia magari na vijisenti hivyo kwa muda tu huku wakiwa ni kuku wanaosubiriwa kuchinjwa...

Hili la Mdude Nyagali, kama walimuua, basi watakufa naye maana waliowatuma ndio haohao watawaua na kuwapoteza kabisa....!!
 
Hakuna mtu wa kuthibitisha uhusika wao, wote tunahisi tu na sheria haifangi kazi kwa kuhisi, inataka fact.
Na hapa haizungumzwi Sheria nenda mahakamani, Ben Saanane alitwangwa risasi na dikteta Mwendazake hatukuisikia mahakamani bali kwa mwandishi wa habari za uchunguzi Eric Kabendera kwenye kitabu chake.

Usituhamishie goli wauaji nyie
 
huenda walinzi katili sana binafsi wa heche ndio wanahusika na matukio hayo gentleman
Umenikumbusha Uchaguzi mwaka 1995 maeneo ya Yombo Kilakala karibu na Kanisa Katoliki kuna mzee mmoja alikuwa akigombea Udiwani kwa tiketi ya NCCR-Magauni alimtorosha mwanaye akaenda kumficha kwao Morogoro, huku wakatengeneza stori kuwa katekwa na baada ya Uchaguzi ndo wakasema kapatikana. Siri ilikuja kufuja miaka mingi baadae..
 

Watapotezwa au watapandishwa Vyeo?

Je, Unajua yule aliyemteka Dkt. Ulimboka yuko wapi siku hizi?
 
Hebu funua hilo pazia tuone.
Nakumbuka nyeyere alipenda sana kuangalia sana television ili kujua kilichokuwa kinaendelea duniani huku akiwa amepiga marufuku umiliki wa TV kwa wananchi wa kawaida kwa kisingizio cha kulinda utamaduni wa watanzania.

Kumbe akiona kinachendela duniani anakuja kuwahadithia wananchi katika hotuba zake hali iliyowafanya watu kudhani kuwa yeye ni mtu mwenye maono makali au hata mchawi.

Hii ndiyo sababu watanganyika tuliitwa 'wadanganyika' na kwa hakika hadi leo watanzania ni 'wadanganyika'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…