Na watakao waua hao police nao watakuwa na nani?Kama mnawafahamu waambieni wajitokeze mapema na kutubu kabla nao hawajauliwa.
Info tulizopata wale wote waliompiga risasi Lissu vijana wawili na boss wale wote hatunao tena. Boss wao alipata ajali ya kutengenezwa na wale waliuliwa .
Hao maboss wa juu ndiyo mafia wenyewe wako tayari kuwauwa hao polisi waliotumwa bila hata kujali. Kuna majina na mpaka namba za simu sasa hamjiulizi kwanini mpaka leo hawajakamatwa.
Na wenyewe wajinga jinga wanaambiwa kajificheni kumbe ndiyo wanaenda kuuliwa huko. Tatizo la Watanzania hatujipi muda wa kufikiria kiutalaamu
Yupo Hukumbuki Jumanne Alipokuwa LikizoHivi mafwele yupo?
Kuna sheria na utashi wa kiongozi.Ok.
Lakini enzi za Nyerere, enzi za uajibikaji, kiongozi wa umma hatakiwi hata kule kuhisiwa kutenda jinai.
Tuhuma pekee inamwondolea sifa za kuendelea kukalia kiti cha enzi.
Potelea kwa mbali hata mhusika asipofikishwa mahakamani, lakini la uwajibikaji lilichukuliwa kwa uzito mkubwa sana.
(Ref to: kashifa ya mauaji ya Shinyanga mwaka 1976) wakati Ally Hassan Mwinyi akiwa Waziri wa mambo ya ndani.
Mwinyi hakuhusika na mauaji hayo lakini aliwajibika kwayo.
Jambo raia. Niko nawinda hapaJambo afande 😁
Mbona wasomi kina Mkapa hawajauawa inamaana intelligence ya Nyerere ilishindwa kumnasa mtu aliyejificha kijijini?Naona umerithi chuki ya babu yako...Nyerere huyu huyu alietaifisha taasisi za elimu za kanisa akataka watu wote wasome ndio aliua ndoto za wasomi?
Nyerere huyu tunaambiwa Chuo kikuu watu walikuwa wanakunywa mpaka maziwa?
Nadhani wewe ni walee wa mkataba wa MoU😁
huenda chadema wamemueliminate hyo muungwana kwasababu alikua ameanza kwenda kinyume na malengo ya chadema ya lisu na kusingizia wengineUmenikumbusha Uchaguzi mwaka 1995 maeneo ya Yombo Kilakala karibu na Kanisa Katoliki kuna mzee mmoja alikuwa akigombea Udiwani kwa tiketi ya NCCR-Magauni alimtorosha mwanaye akaenda kumficha kwao Morogoro, huku wakatengeneza stori kuwa katekwa na baada ya Uchaguzi ndo wakasema kapatikana. Siri ilikuja kufuja miaka mingi baadae..
Wewe siasa hujui, kula mbususu tuNakumbuka nyeyere alipenda sana kuangalia sana television ili kujua kilichokuwa kinaendelea duniani huku akiwa amepiga marufuku umiliki wa TV kwa wananchi wa kawaida kwa kisingizio cha kulinda utamaduni wa watanzania.
Kumbe akiona kinachendela duniani anakuja kuwahadithia wananchi katika hotuba zake hali iliyowafanya watu kudhani kuwa yeye ni mtu mwenye maono makali au hata mchawi.
Hii ndiyo sababu watanganyika tuliitwa 'wadanganyika' na kwa hakika hadi leo watanzania ni 'wadanganyika'
Hiyo ni kitu ya kawaida sana hata kwenye novels za fiction na madudu mengine principal hiyo utaikuta !Inaitwa closing loose ends ili case isiwwfikie wahusika
calm down na upunguze mihemko ikiwa huna hoja gentlemanKatika mataahira wapumbavu wawili mnaoongoza jukwaani na mwenzako malaria 2 sijui malaria sugu
Kama baba ako tu.Pathetic fool
muda ni sasa,Time will tell
Mgonjwa wa akili wahi MirembeKama baba ako tu.
Kwani kila analosema kabendera ndo ukweli?Na hapa haizungumzwi Sheria nenda mahakamani, Ben Saanane alitwangwa risasi na dikteta Mwendazake hatukuisikia mahakamani bali kwa mwandishi wa habari za uchunguzi Eric Kabendera kwenye kitabu chake.
Usituhamishie goli wauaji nyie
Kumbuka kumpa dawa baba yako pia.Mgonjwa wa akili wahi Mirembe
Hatari Wapi ????? Jana waandishi wa habari walihongwa milioni Tano tano, hakuna Tena wa kupaza sauti kupitia vyombo vya hbr Yani ni mwendo wa kusif na kuabudu tuu, upinzani kwisha habariDamu ya huyu mtu ni hatari sana, naiona effect yake Sasa kwa taifa Zima, hakika Kuna watu siyo wa kuchezea kabisa.
Sawa sawa gentlemanmuda ni sasa,
na kama sio sasa, ni sasa hivi, otherwise ni upotoshaji mtupu gentleman
relax nowSawa sawa gentleman
Babu yako alikusimulia story za jabaNdugu yangu
Kipindi cha Nyerere wasomi walikuwa wachache na alikuwa anahisi atapinduliwa. Babu yetu alikuwa sio muongeaji sana. Ila waliosoma naye ndiye walikuwa wanawaeleza baba zetu.
Yaani babu aliishi kama njiwa aliogopa akitoa siri watu wataongea japo watu walijua mtu fulani anafundisha Makerere. Walikuwa wanajua ataondoka leo kesho.
Na Nyerere aliuwa ndoto za wasomi kutokana na vitisho vyake vya kuona watanzania ni wajinga. Nilisikia Nyerere aliwarudisha wasomi wengi vijijini na akawaambia wasitoke kwenda popote ndiyo ilikuwa magereza yake.
Kwa mpumbavu Kila analosema Magufuli na Samia ndio kweli. Amini utakacho hainihusu mimi Namuamini Kabendera mpaka mtakapotuambia Ben Saanane yuko wapi.Kwani kila analosema kabendera ndo ukweli?