Bosco Ntaganda
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 1,636
- 2,020
Iweke vizuri hapo kiongozi. Sema mapolisi waliomuua Mdude, hajatekwa huyo bali aliuwawa pale pale kwake na kisha hao washenzi wakatokomea na maiti yake kwenda kulisha mamba wao wa kazi maalum.Kama mnawafahamu waambieni wajitokeze mapema na kutubu kabla nao hawajauliwa.
Info tulizopata wale wote waliompiga risasi Lissu vijana wawili na boss wale wote hatunao tena. Boss wao alipata ajali ya kutengenezwa na wale waliuliwa .
Hao maboss wa juu ndiyo mafia wenyewe wako tayari kuwauwa hao polisi waliotumwa bila hata kujali. Kuna majina na mpaka namba za simu sasa hamjiulizi kwanini mpaka leo hawajakamatwa.
Na wenyewe wajinga jinga wanaambiwa kajificheni kumbe ndiyo wanaenda kuuliwa huko. Tatizo la Watanzania hatujipi muda wa kufikiria kiutalaamu
Naona umerithi chuki ya babu yako...Nyerere huyu huyu alietaifisha taasisi za elimu za kanisa akataka watu wote wasome ndio aliua ndoto za wasomi?
Nyerere huyu tunaambiwa Chuo kikuu watu walikuwa wanakunywa mpaka maziwa?
Nadhani wewe ni walee wa mkataba wa MoU😁
1. Tutaaminije kwamba waliomshambulia Lisu washakufa?Kama mnawafahamu waambieni wajitokeze mapema na kutubu kabla nao hawajauliwa.
Info tulizopata wale wote waliompiga risasi Lissu vijana wawili na boss wale wote hatunao tena. Boss wao alipata ajali ya kutengenezwa na wale waliuliwa .
Hao maboss wa juu ndiyo mafia wenyewe wako tayari kuwauwa hao polisi waliotumwa bila hata kujali. Kuna majina na mpaka namba za simu sasa hamjiulizi kwanini mpaka leo hawajakamatwa.
Na wenyewe wajinga jinga wanaambiwa kajificheni kumbe ndiyo wanaenda kuuliwa huko. Tatizo la Watanzania hatujipi muda wa kufikiria kiutalaamu
Vipi tena, mkuu kwani amekusema ???. Msamehe tu hautajulikana.Fala kweli wewe
Amang'ana GasarikileKama mnawafahamu waambieni wajitokeze mapema na kutubu kabla nao hawajauliwa.
Info tulizopata wale wote waliompiga risasi Lissu vijana wawili na boss wale wote hatunao tena. Boss wao alipata ajali ya kutengenezwa na wale waliuliwa .
Hao maboss wa juu ndiyo mafia wenyewe wako tayari kuwauwa hao polisi waliotumwa bila hata kujali. Kuna majina na mpaka namba za simu sasa hamjiulizi kwanini mpaka leo hawajakamatwa.
Na wenyewe wajinga jinga wanaambiwa kajificheni kumbe ndiyo wanaenda kuuliwa huko. Tatizo la Watanzania hatujipi muda wa kufikiria kiutalaamu
Yaan wewe una taarifa ila wabongo kwa kujihisi majasusi kumbe mende wa chooni yuKama mnawafahamu waambieni wajitokeze mapema na kutubu kabla nao hawajauliwa.
Info tulizopata wale wote waliompiga risasi Lissu vijana wawili na boss wale wote hatunao tena. Boss wao alipata ajali ya kutengenezwa na wale waliuliwa .
Hao maboss wa juu ndiyo mafia wenyewe wako tayari kuwauwa hao polisi waliotumwa bila hata kujali. Kuna majina na mpaka namba za simu sasa hamjiulizi kwanini mpaka leo hawajakamatwa.
Na wenyewe wajinga jinga wanaambiwa kajificheni kumbe ndiyo wanaenda kuuliwa huko. Tatizo la Watanzania hatujipi muda wa kufikiria kiutalaamu
Mbona ufiki Mahakamani wewe dogo?Amang'ana Gasarikile
Hivi kwanini huyo RC aliyesuka njama hadi leo bado yupo kwenye ofisi za umma?
RCO ambaye anawaficha wahusika, kwa nini naye bado anatanga tanga kwenye ofisi za umma pia?
Huu utawala unawachukuliaje wananchi linapokuja suala la uwajibikaji?
Ndio maana Askari au kitengo wakiona mossion zenye utata Huwa wanatafuta excuse, wanajua kitachotokea baada mission kukamilika na kusanuka!!Kama mnawafahamu waambieni wajitokeze mapema na kutubu kabla nao hawajauliwa.
Info tulizopata wale wote waliompiga risasi Lissu vijana wawili na boss wale wote hatunao tena. Boss wao alipata ajali ya kutengenezwa na wale waliuliwa .
Hao maboss wa juu ndiyo mafia wenyewe wako tayari kuwauwa hao polisi waliotumwa bila hata kujali. Kuna majina na mpaka namba za simu sasa hamjiulizi kwanini mpaka leo hawajakamatwa.
Na wenyewe wajinga jinga wanaambiwa kajificheni kumbe ndiyo wanaenda kuuliwa huko. Tatizo la Watanzania hatujipi muda wa kufikiria kiutalaamu
March mwaka upi?Aliyetaka kumuua TAL alikufa march
Yaani mi nomba Mungu walio injection nia ule mpango pia waondokeKama mnawafahamu waambieni wajitokeze mapema na kutubu kabla nao hawajauliwa.
Info tulizopata wale wote waliompiga risasi Lissu vijana wawili na boss wale wote hatunao tena. Boss wao alipata ajali ya kutengenezwa na wale waliuliwa .
Hao maboss wa juu ndiyo mafia wenyewe wako tayari kuwauwa hao polisi waliotumwa bila hata kujali. Kuna majina na mpaka namba za simu sasa hamjiulizi kwanini mpaka leo hawajakamatwa.
Na wenyewe wajinga jinga wanaambiwa kajificheni kumbe ndiyo wanaenda kuuliwa huko. Tatizo la Watanzania hatujipi muda wa kufikiria kiutalaamu
Na cheo kimepanda.Kajaa tele
George Bush kaua Iraq, Afghanistan nk na sasa ni mzee, je malipo hayo yanabangua?Ukimwaga damu ya mtu na wewe yako itamwagwa tu hili ni agano.
Who threatens who here? I just told you how foolish you areA fool who threatens keyboard warriors is a clever fool! Ahahahahaha!!