Umajumui wa Africa (Pan Africanism)

Umajumui wa Africa (Pan Africanism)

Kobe_mzee

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2011
Posts
445
Reaction score
153
Kwa muda wa siku tatu kuanzia tarehe 9-11.04.2014 mijadala mbali mbali ilifanyika ukumbi wa Nkrumah Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Mijadala yote ilijikita katika kujadili umuhimu wa ukombozi wa fikra katika kuchochea maendeleo na mabadiliko chanya Afrika ikiwemo kuunda Umajumuhi wa Afrika kama walivyojaribu waasisi (Nkrumah, Nyerere, n.k.)

Je, kuna uwezekano wa kuunda umajumuhi wa Afrika katika karne hii ya ukoloni na uliberali mamboleo.
 
Ni vigumu, hakuna alie tayari kuungana iwe watawala au wapinzani hata wanaharakati wote wanaangalia maslahi binafsi ya muda mfupi
 
Back
Top Bottom