Umakini katika kuoa

njujujr

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2017
Posts
684
Reaction score
468
*TAARIFA*
*Kwa wale ambao hamjaoa kuweni makini Sana manake unaweza oa MTU anadaiwa na Bodi ya mikopo ya elimu ya juu Milion20 utazilipa mpaka ukome.*

*Utaratibu mzuri ni wewe kwenda bodi ujiridhishe anadaiwa shilingi ngapi ili ubargain mahari ipungue*
 
Upo darasa la ngapi?
 
Ficha upumbavu wako we dogo
 
Ataongeza kipi ktk maisha yangu nikimfahamu na wakati anawezakuwa leo waziri kesho hayupo wann sasa ukimfahamu mungu inatosha
 
nimefungua kwa hamu hii thread nikajua kinacho zungumziwa labda chamaana kumbe upuuzi mtupu
Sent from my galaxy jamiiforums app
 
nimefungua kwa hamu hii thread nikajua kinacho zungumziwa labda chamaana kumbe upuuzi mtupu
Sent from my galaxy jamiiforums app
somo lingine usitegemee katika maisha muda wote utafurahishwa tu
 
Ccm inakufanya unakuwa chizi sasa wew mleta mada
 
Yaani wewe hii taarifa yako mbona haina uhusiano,kwani wewe umeoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…