Umakini mdogo unaweza kukugharimu

Umakini mdogo unaweza kukugharimu

mcshonde

Member
Joined
Jul 15, 2022
Posts
66
Reaction score
154
Wengi wanaibiwa magari yao au vitu vilivyo ndani ya gari kwa sababu wezi wamevunja kioo n.k ila wezi proffesional siku hizi wanaweza kuku-time ukiwa unataka kuloki milango. Cheki hii👇
 
kaibiwa mjinga!

mie mlango mmoja ukiwa waz gari haifungi

na nikilock kwa alarm haikubali inatoa mlio tofauti! huyo mjinga kaona mtu kasogelea gar yake hata hakutaka kuongeza umakin
 
Back
Top Bottom