mcshonde Member Joined Jul 15, 2022 Posts 66 Reaction score 154 Feb 17, 2023 #1 Wengi wanaibiwa magari yao au vitu vilivyo ndani ya gari kwa sababu wezi wamevunja kioo n.k ila wezi proffesional siku hizi wanaweza kuku-time ukiwa unataka kuloki milango. Cheki hii👇
Wengi wanaibiwa magari yao au vitu vilivyo ndani ya gari kwa sababu wezi wamevunja kioo n.k ila wezi proffesional siku hizi wanaweza kuku-time ukiwa unataka kuloki milango. Cheki hii👇
Mtemi mpambalioto JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 3,436 Reaction score 7,955 Feb 17, 2023 #2 kaibiwa mjinga! mie mlango mmoja ukiwa waz gari haifungi na nikilock kwa alarm haikubali inatoa mlio tofauti! huyo mjinga kaona mtu kasogelea gar yake hata hakutaka kuongeza umakin
kaibiwa mjinga! mie mlango mmoja ukiwa waz gari haifungi na nikilock kwa alarm haikubali inatoa mlio tofauti! huyo mjinga kaona mtu kasogelea gar yake hata hakutaka kuongeza umakin