Umar ibn Al-Kathab na Salahdini na Taifa la Israel.

Jackwillpower

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2017
Posts
2,467
Reaction score
3,687
Umar ibn Al-Kathab na Salahdini na Taifa la Israel.

...... hawa walikuwa ni majemedari wakubwa sana katika Waislam na historia yao inajulikana kimataifa. Umari alikuwa ni sahaba wa pili wa Muhamad, huyu ndiye alifanikiwa kuiteka Yerusalem kwa kuwashinda Warumi yaani Dola ya Rumi ya mashariki(Byzentine empire) katika eneo la Syria na Palestina, Benzyntine ilikuwa inadhibiti Yerusalem na Israel kwa ujumla, hawa Warumi waliweka marufuku kwa Wayahudi wasirudi Yerusalem, ila Umar alivyoiteka Yerusalem aliwaruhusu Wayahudi warudi na wamiliki makao yao na ikawa hivo. Akawatangiza ukimbizi wao umekoma, na Wayahudi wakarejea ingawa hawakufanikiwa kuirithi nchi maana wakati ulikuwa haujafika.

Baada ya Umari, makrusader toka Ulaya chini ya agizo la papa Urban walipigana na jeshi la Waislam na Wayahudi na kuwashinda waislam na Wayahudi na kuwaua kwa makali ya upanga na kuwafukuza toka Israel. Ndipo Cruseder army likaitawala nchi Takatifu chini ya papa wa Rumi, zama hizo wapalestina(wafilisti) walikuwa wachache sana na waliishi Gaza(mji wao), Crusader waliwafanya kuwa Wakatholiki na kuwaleta Yerusalem na sehemu za nchi takatifu, hapo ndipo wakaitamalaki Israel ktk eneo la Ashdod, Hebron, Bethlehem, na Yerusalem miji ya Yudea(Yahudi) wakichangamana na mataifa yaliyoishi pale zamani, wakazaliana kwa wingi, maana lengo la papa lilikuwa ni kuwafutilia mbali Wayahudi kwa kigezo wamelaaniwa kwa kumuua Yesu. Hayo ndo maeneo tata yanayogombaniwa mpk leo kwa fitna ya Cruseder na waislam na waarabu wanafiki.

Baada ya ilo aliinuka muislam shujaa mwenye nasaba ya Uturuki toka katika Wakurdi, na huyu si mwingine ni Salahdini, alipagana sana na Cruseder na kuwashinda na akaitawala Yerusalem na baada ya ilo aliwaruhusu Wayahudi warudi ktk nchi yao kwa amani, maana ndio hasa walimsaidia ktk vita hivo vya msalaba, tangu hapo Wayahudi walianza kurudi kwao mdogomdogo mpk hivi leo. Na Salahdin aliwasilimisha wapalestina kwa wingi na wachache waligoma na mpk leo vizazi vyao vipo, wanaishi kingo za magharibi za mto Jordan(westbank). Na Salahdin ndiye aliwashinda Knite Tempers(zao la freemason) waliokuwa wanafadhiliwa na mapapa ili kuiteka Jerusalem.

Point:

1) Umar na Salahdin walitambua kabisa kuwa Israel ni nyumbani kwa Wayahudi na waliwapa uhuru, iweje leo Waislam wanakanusha ilo na kupigana na Wayahudi?

2) Umar ingawa aliwafukuza wakristo na wayahudi Hijaz(arabia) ila aliwaruhusu waishi Iraq na Syria na Yemen na Israel. Iweje leo Waislam wanadai hayo mataifa ni ya Waislam? Bilashaka wanasau Umar na Uthuman ndio waliyashinda hayo mataifa kijeshi ikiwemo Iran, Syria, Iraq, Misri, Libya, Tunisia, Algeria ambayo yalikuwa mataifa ya Kikristo(kutoa sehemu kubwa ya Iran-sasanid empire).

3) Kipindi cha makhalifa yaani Abbakar na Umar ibn Al-Kattab na kamanda wao Khalid ibn al-Walid(aka upanga wa Mungu) islam ulikuwa sana, hizo zama ziliitwa muslim golden age, uislam ulitamalaki robo tatu ya ufalme wa Rumi ya mashariki(Byzentine empire) adui mkuu wa Waislam zama hizo, uislam ulisonga kiasi cha kuikaribia Ulaya kupitia Spain, mpk Papa Urban akaanzisha crusader war(1096) iliowaondoa waislam spain na kuwavamia mashariki ya kati na kuvunja nguvu zao, ila baade uislam uliinuka tena kupitia masultan wa Ottoman waliowafukuza majeshi ya papa mashariki, Ulaya ilipambana na utawala wa ottoman mpk ulivyojisalimisha mwaka 1840 na kuvunjika kbs mwaka 1923, hapo ndipo dola za kislam zilivyokoma mpk leo, kumebakia fitna tu. Cha kushangaza waislam wa zamani hawakuua wakristo waliokuwa tofauti na Roma, waliwaua sana wakatholiki sbb ya ibada ya sanamu. Na wote walitambua Ukristo ni dini ya Yesu na walitambua Canaan ni nchi ya Wayahudi, ila Waislam wa leo wanakanusha, bilashaka hawa ni jamii ya makruseder wa Kirumi.

Mwisho: Israel vs Jerusalem ni nyumbani kwa Wayahudi, na waislam wa kwanza walitambua ilo, Wayahud waliondolewa hapo kwa dhambi zao, ila wamerudi hapo kwa ahadi ya Mungu ili wapate rehema ili ule mwisho uje.

Yesu anasema: 41 Alipofika karibu aliuona mji, akaulilia,42 akisema, Laiti ungalijua, hata wewe katika siku hii, yapasayo amani! Lakini sasa yamefichwa machoni pako.
43 Kwa kuwa siku zitakuja, adui zako watakapokujengea boma, likuzunguke; watakuzingira na kukuhusuru pande zote; 44 watakuangusha chini wewe na watoto wako ndani yako, wasikuachie jiwe juu ya jiwe, kwa sababu hukutambua majira ya kujiliwa kwako 24 Wataanguka kwa ukali wa upanga, nao watatekwa nyara na kuchukuliwa katika mataifa yote; na Yerusalemu utakanyagwa na Mataifa, hata majira ya Mataifa yatakapotimia. (Luka 19,21)

Ilo tukio limeshatokea, Israel iliangamizwa na Warumi na kutawaliwa nao, na wakaliteketeza hekalu lao, na kuibadilisha nchi yao jina toka Israel-Yudea kuwa Siria-Palestina yaani nchi ya wafilisti na washami, maana wafilisti na washami walikuwa watiifu kwa Warumi, Warumi wakawajaza wafilisti na mataifa ktk nchi ya Israel, na unabii wa Yesu ukatimia. Baadae wakaja waarabu(Waislam) mnamo karne ya saba, wakapigana na Warumi hapo mpk wakaiteka Israel toka kwa Warumi, wakaendelea kugombania mpk karne ya 20 bila mafanikio, na utimilifu wa mataifa ukatimia na Wayahudi wakarudi ktk nchi yao na kuimiliki. Na unabii huu ukatimia:-14 Nami nitaonekana kwenu, asema BWANA, nami nitawarudisha watu wenu waliofungwa, nami nitawakusanya ninyi, nikiwatoa katika mataifa yote, na katika mahali pote, nilikowafukuza, asema BWANA; nami nitawaleta tena, hata mahali ambapo kutoka hapo naliwafanya mchukuliwe mateka. (Yeremia 29). Ndo maana baada ya hapo Mataifa hasa ya Kiarabu wameshindwa kuisambaratisha Israeli zaidi ya kupigwa na kusambaratika wao.

Ingawa Jerusalem inagombaniwa bado ila ni tanzi kwa mataifa.

BIblia inasema:- 2 Angalia, mimi nitafanya Yerusalemu kuwa kikombe cha kuyumba-yumba kwa watu wa kabila zote, wazungukao pande zote; tena kitakuwa juu ya Yuda pia wakati wa kuhusuriwa Yerusalemu.3 Tena itakuwa siku hiyo, nitafanya Yerusalemu kuwa jiwe la kuwalemea watu wa kabila zote; wote watakaojitwika jiwe hilo watapata jeraha nyingi; na mataifa yote ya dunia watakusanyika pamoja juu yake. Zakaria 12

Kwaiyo, mataifa wanajisumbua na Yerusalem, na ni kweli Kwanzia Warumi, Waislam, Othoman, Waingereza na leo Wamarekani wameishia maumivu tu, kila siku ni vurugu kibao, Yerusalem itatulizwa na Mungu tu na si na mwanadamu. Siku si nyingi mataifa watapiga kura na kupatana ili waifanye Yerusalem kama kitovu cha Serikali ya Dunia na makao makuu ya dini zote duniani, kwaiyo wataigawanya Yerusalem, Wayahudi wengi watapinga ila watanyamazishwa kwa mkono wa chuma na mataifa watakuwa kinyume chao, ndipo watamtafuta Mungu sana kwa machozi na Mungu atawamwagia Roho wake nao watamtambua masihi wao Yesu Kristo na kumwombolezea kwa vilio na majuto na wengi wataokolewa.

10 Nami nitawamwagia watu wa nyumba ya Daudi, na wenyeji wa Yerusalemu, roho ya neema na kuomba; nao watamtazama yeye ambaye walimchoma; nao watamwombolezea, kama vile mtu amwombolezeavyo mwanawe wa pekee; nao wataona uchungu kwa ajili yake, kama vile mtu aonavyo uchungu kwa ajili ya mzaliwa wake wa kwanza. Zakaria 12

Kwaiyo kabla Bwana Yesu hajaja Wayahudi wengi watampokea Yesu na rehema ya mataifa itakuwa imekoma. Biblia inasema hivi:-25 Kwa maana, ndugu zangu, sipendi msiijue siri hii, ili msijione kuwa wenye akili; ya kwamba kwa sehemu ugumu umewapata Israeli, mpaka utimilifu wa Mataifa uwasili.26 Hivyo Israeli wote wataokoka; kama ilivyoandikwa,Mwokozi atakuja kutoka Sayuni;Atamtenga Yakobo na maasia yake.

27 Na hili ndilo agano langu nao,Nitakapowaondolea dhambi zao. (Warumi 1). Ilo neno wote halimanishi hadi wadhambi wataokolewa bali ni wale watakao mtambua Yesu ndio watakao okoka na watakuwa wengi.

Biblia inafafanua vizuri fumbo ilo kama ifuatavyo:-37 Nami nitawapitisha chini ya fimbo, nami nitawaingiza katika mafungo ya agano.38 Nami nitawasafisha kwa kuwatoa waasi, na hao walionikosa; nitawatoa katika nchi wanayokaa ugenini, lakini hawataingia katika nchi ya Israeli; nanyi mtajua ya kuwa mimi ndimi BWANA. Ezekiel 20

Hata Quran inakiri kuwa, Wayahudi watakusanywa kabla ya Kiyama na hiyo ni ishara ya mwisho wa dunia.

(104) Al-Israa
Na tukawaambia baada yake Wana wa Israili: Kaeni katika nchi. Itapo kuja ahadi ya Akhera tutakuleteni nyote pamoja.

Na biblia haiko mbali na ilo.

15 Maana ikiwa kutupwa kwao kumeleta upatanisho kwa ulimwengu, je! Kukubaliwa kwao kutakuwa nini kama si uhai baada ya kufa? Warumi 11

Kwaiyo usiwabeze Wayahudi maana imeandikwa.
30 Kwa maana kama ninyi zamani mlivyomwasi Mungu, lakini sasa mmepata rehema kwa kuasi kwao;31 kadhalika na hao wameasi sasa, ili kwa kupata rehema kwenu wao nao wapate rehema. Warumi 11

Na uadui wao kwetu upo katika injili tu.

28 Basi kwa habari ya Injili wamekuwa adui kwa ajili yenu; bali kwa habari ya kule kuchaguliwa wamekuwa wapenzi kwa ajili ya baba zetu. Warumi 11

Mbarikiwe kwa kusoma.
 
Waisilamu hawana shida na wayahudi kama hufahamu

1. Kulikua na wayahudi Palestina hata kabla ya Kuja Hawa wa sasa

2. Nchi zote za kiarabu kuanzia North Africa, Yemen hadi Iraq, Mpaka Nchi kama Iran kulikua na population kubwa tu Wayahudi.

3. Wakati wayahudi wanafukuzwa Ulaya ni Palestina ndio waliwapokea kwa Roho nzuri tu na mpaka kuwauzia Maeneo yao.

Issue iliokuja kuleta mtafaruku ni Ashkenazi Jews, Ashkenaz Jews ambao wengi ni zionist wana Malengo mengine kabisa
-kwanza wao ni wazungu na asili yao si middle East
-Hata hio dini hawafuati ni Atheist na wanaleta uchafu tu hapo, Mfano Tel Aviv inaitwa Paraside ya Mashoga.
-wana Expand kwa nguvu kwa kuwapokonya Ardhi wazawa
-hawafuati hata Hizo mila za Kiyahudi.

Pia kuna misconception nyengine hapa, Wapalestina ndio hao hao wayahudi wa zamani, Wayahudi (Mizrahi na Sepharidic) wapalestina wakristo na waisilamu wote Dna zao ni sawa, ni wale wale kasoro dini.

Umar alipokomboa Jerusalem, Yesu alipokuja Palestina kuna wayahudi wa zamani wakasilimu wakawa waisilamu na wengine wakawa Wakristo.

Wafilisti ni wazungu and has nothing to do with palestina kuna studies kibao zinaonesha.
 
Zionist movement na palestine rebels ndiyo tatizo , soma vizuri wayahudi wanaishi mpaka kesho na waislamu ...Wakati wanarudi pale walipokelewa na mabango yao ''huko walipotoka walivunjwa moyo basi wapelastine wasiwavunje moyo '' wanaishi kama ndugu ...Kumbuka kuna shekhe alishafake Id ya mayahudi kwa kuwahifadhi kama waislamu kipind wanafukuzwa ulaya kwenye nchi zaidi ya 20.

Hapo Iran wayahudi wana mpaka vitengo vya juu kweny serikali , iraq wapo , saudi wapo , kila kona wapo .

Mayahudi hata leo ukitaka kaangalie YOUTUBE , tena wako more familiar na waislamu hata nyumba za ibada wanashare ..Myahudi hawezi kusali kanisani tu kwa sababu anaamini wakristo wanaabudu ''idolatry'' ibada ya masanamu .

Pale ni siasa wala hakuna uhusiano na dini.
 
Back
Top Bottom