Umasaini Kumenishangaza

evocom

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2017
Posts
258
Reaction score
236
Habar za Leo ndugu.
Kuna hili suala LA wabinti kupata mimba kabla ya kuolewa na inakuwa shida kupata huduma pasipo mwenza.
Sasa katika zunguka zangu nikakutana na kijana ambaye mdg wake alipata ujauzito sasa wazazi ikabidi wamwambie kaka ake aende nae zahanati na ajitambulishe kuwa yeye ndo alimpa mimba ili mtoto huyo asikose huduma.

Sasa wewe mwenzangu uko uliko hii inawezekana ???? Na kama ndio ni kwa maeneo yapi hayo ????


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…