Chuki kubwa waliyonayo watu wengi dhidi ya watu waliofanikiwa kisiasa au kiuchumi inatokana na Umaskini wa kipato na umaskini wa fikra. Chuki ikizidi huzaa roho mbaya na roho mbaya na Uchawi ni kama kurwa na dotto.
"""UMWINYI NA UMASIKINI NI NDUGU MOJA""
KAGUA MIKOA YENYE UMWINYI NA ISIYO NA UMWINYI,PITIA MAENDELEO YAO!,-BAO,DRAFT,KARATA KWERAM....(Wanajua kulalama hao)