MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,537
- 8,824
Moja ya sababu ya kuto piga hatua kwenye soka ni, Umasikini na si vinginevyo, West Africa wanafanya vyema kwenye timu za Taifa tu na sio Vilabu na ukiangalia levo ya Vilabu basi Waarabu wanafanya vyema sana na sababu kubwa ni standard ya maisha ya Waarabu ambako mashabiki wanamudu sana kuingia viwanjani na hata kununua jezi mpya.
West Africa kinacho wasaidia ni Exposure na network ya wachezaji wao kupata timu ulaya na hivyo kufanya vizuru kwenye timu za Taifa
Angalia Vilabu ya West Africa asilimia kubwa ni vya kawaida sana, changamoto ni hizi hizi kama za Tanzania umasikini.
Kidogo South Africa Vilabu vinavipato vya maana kwa sababu pia vipato vya Raia wao viko juu.
Pale Kongo Tp Mazembe yule tajiri anawekeza mno pesa yake na ndio inayo isadia TP Mazembe.
Tanzania kama ilivyo west Africa umasikinu ni changamoto, angalia mechi zinazo chezewa Uwanja wa mkapa, huwa uwanja uko tupu, ni Mechi ya Yanga na Simba tu ndio huwa zinajaza uwanja baada ya hapo inasubiliwa ni lini watakutana tena ili uwanja uje.
Juzi niliangalia KMKM mechi ya CAF walichezea nyumbani, ni ajabu uwanja ulikuwa tupu kabisa, yaani club inachezea uwanja wa nyumbani na uko tupu kabisa unategemea maendeleo hapo?
Hapa pesa za kuendesha club sana zinategemewa kutoka wa Mfadhili make jezi zenyewe haziuziki, kununua jezi mpya kwenyewe ni kazi pevu sana.
Mafanikio ya Cluba yanachangiwa sana na Pesa, na hio pesa inatoka vyanzo mbalimbali kubwa ikiwa ni kuuza Jezi na Kiingilioa, na vilabu vya wenzetu hapo ndiko wanako tengeneza pesa za kuendesha club zao.
Kwa Tanzania Kiingilio na kuuza jezi hakuna pesa ya maana pale, mashabiki wanatamani waingia bure au jezi wagawiwe bure