Umasikini bado ni kikwazo kwa maendeleo ya soka Tanzania

Umasikini bado ni kikwazo kwa maendeleo ya soka Tanzania

MURUSI

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
4,537
Reaction score
8,824
Pamoja na promo za kutosha still Africa na Tanzania ikiwemo Umasikini ni changamoto kubwa sana na hii sio kwa Tanzania peekee ingawa case study ni Bongo.

Ukiangalia mashabiki wa hizi timu, utaona kabisa wana munkari ila umasikini ni kikwazo sana kwao, Jana nilikuwa naangalia Mpira wa Yanga na Police Dodoma, unaona kabisa shabiki anaingia uwanjani na jezi ya msimu miwili nyuma, na, shabiki ana jezi ni ya Yanga kweli ila sio Official, na hii sio kwa Yanga pekee bali pia kwa Simba na timu zingine.

Wenzetu msimu ukianza tu jezi mpya na hapoa ndio timu inapatoa hapo pesa za kuendesha timu. Africa ni tofauti kabisa.

Ukiachana na Jezi njoi kuingia uwanjani, Timu za Yanga na Simba zikichezea Dar hazipati watu wa kuingia uwanjani yaani kwa Ligi kuu ili uwanja wa Taifa ujae ni hizo timu mbili zikutane, huu pia ni ujinga na sijajua kwa nini mashabiki hawaoni hili ni kosa sana, na hao hao mashabiki wanataka mafanikio na uwanjani hawataki kwenda.

Njoo sasa kwenye hivi vilabu vingine huko ndio shida tupu, Niliona Mechi ya Singida Big satar pale Singida maashabiki sidhani kama wanafika 1000, hawa hawa wanataka timu ifanye vyema.

Hizi timu zingine huwa zinapata mapato mengi sana pale zinapo wakaribisha Yanga au Simba basi, na Simba na Yanga hazina advantage make mechi zao za nyumbani hakuna watu wanao ingia.

ushauri wangu.
Yanga na simba ni kuwapa mashabiki fact kwamba kama wanataka mafaniko wanapaswa kwenda uwanjani na sio kukaa kwenye vijiwe vya kahawa kulamu timu wakati uwanjani hawaendi hadi zikutane hizo timu mbili,

na pia waambiwe wanunue jezi basi kama u we anjani ni shida basi hata jezi, wajitahidi kila msimu mota wanunue jezi
 
Sijawahi kufika OTraford ila mbon kuna watu naonaga kweny TV wanajezi za sharp
 
Sijawahi kufika OTraford ila mbon kuna watu naonaga kweny TV wanajezi za sharp
Na wa arsenal wana zile oxygen (02) na maisha yanasonga ila wabongo kwa sifa tupo vizuri.
 
Yaani nitupe jezi yangu ya mwaka jana njiliyonunua 35000 wakati bado inalipa,jezi zetu yanga mwak huu haziuziki ni mbayaa
 
Back
Top Bottom