Tman900
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 589
- 1,897
Wahubiri wanatumia watu kua mtaji wao, na kumekua na mahubiri ya kuhubiri mafanikio, na Kuna utapeli unaombatana na Dini, wahubiri wanajinufaisha kupitia Fedha za waumini wao.
Jopo kubwa linalolengwa na wahubiri ni wanawake.
Ukitazama Television nyingi wanashuhudia kujibiwa maombi na Kuna kua na watu ambao wao wanasema wamejibiwa.
Sasa Kila siku Kuna Habari za mafanikio kupitia hizi huduma za maombi au Makanisa.
Watu wanapoteza Fedha nyingi na Nguvu nyingi kupitia Imani za Kidini.
Ifike Hatua wajitambue kua Hawa Wana Dini ni wafanya Biashara tu. Kupitia mwamvuli wa Dini