Umasikini mkoa wa Kagera unaletwa na Serikali

ila kwa sisi tuliowahi na ambao bado tunafanya kazi na kuishi na wahaya tunawajua vizuri, ni bora kuishi na fisi kuliko kuishi au kufanya kazi na mhaya, kuna mmoja alikuwa HR hapa kazini,
juzi kamwambia mwenye kampuni ana elimu ndogo ndiyo maana ni mzito kuelewa,
mchagga wa watu akamwambia tu sawa, ngoja nitafute wajinga wenzangu nifanye nao kazi,
Na kazi ikaishia hapo.
 
Kagera imedumazwa na wana Kagera wenyewe! Wamesoma lakini wamejenga mikoa mingine!
 
Hivi unajua kwamba mipango ya Maendeleo ya wilaya inapangwa na Na nani, Ni Baraza la madiwani ndio wanaohusika na sio wateule wa Rais, kazi ya wateule wa Rais ni Kumentain laws and order. Hao Madiwani wenu ndo muwalaum na siyo serikali.
Hiyo mipango haipo wilaya zote ila kwingine Tanzania ndo ipo
 
Kagera imedumazwa na wana Kagera wenyewe! Wamesoma lakini wamejenga mikoa mingine!
Kujenga mikoa mwingine ndo serikali isipeleke Kagera huduma za jamii kama afya, elimu, maji, barabara
 
Huu mkoa pamoja na kuwa na wasomi wengi lakini upo nyuma sana kimaendeleo kulinganisha na mikoa mingine
Hilo ni tatizo kubwa la mkoa huo,kuna maprofesa fulani uko kiziba wanashindana tu kujenga mijengo,lkn kuishi humo hawana mpango wao ni dar au USA baasi,huko kijijini wanaacha watumishi au majirani ndo wawe wanawaangalizia,hakuna uwekezaji wowote hata wa mashine yakusaga unga,ili na wengine wanufaike.
 
Tanzania nzima Serikali yetu kuna mambo haifanyi sawa hasa kupitia watumishi wake ambao wamepewa mamlaka ya kuwasaidia wakulima, wanafanya biashara na na wajasiriamali ambao ndio walipa kodi na chachu ya maendeleo nchi yetu inanuka rushwa na uvivu kwa wanaoisaidia Serikali kutimiza wajibu wake, la mwisho wana Kagera mjitahidi kulima mna vishamba vidogo sana
 
Inabidi wabadilike
 
tatizo wakazi wengi wa mkoa wa kagera ni machawa
 
Bukoba = ka Re jenairo😀😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…