Tman900
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 589
- 1,897
Sio Kila rafiki, ndugu, mke au majirani wako karibu na wewe kwa sababu ya Upendo sio kweli ni Njaa tu ndo zinazowafanya wawe karibu na wewe.
Siku wakizipata pesa au kuwa na uwezo wa kukidhi mahitaji yao, lazima watakua mbali na wewe, haijarishi uliwajari namna gani.
" Mwanadamu atakupenda iwapo utamtimizia mahitaji yake"