Hiyo ndio sera mtambukaUmasikini Tanzania unaletwa na hawa hawa CCM
UbinafsiUlimwengu unajitoshekeza kwa mahitaji ya muhimu. Matabaka kama umasikini yanatengenezwa na watawala kama maCCM kwa manufaa yao wenyewe.
Ni kupe mfano.Ukiona mtoto anakukashifu au kukufanyia jambo usilo lielewa ukiwa kwao.fahamu kuwa wazazi wake wanakuongelea nini ulivyo.Mtoto wa waziri sio waziri
Kwahiyo kauli yake au maneno hayawezi kuwa yanalenga kumaanisha ukweli au uongo ni kama maoni binafsi
Ila nje ya siasa
Ila nje ya siasa , sio Tz ila maeneo mengi duniani ipo mifumo ambayo inampa Favor MTU mwenye head start kuliko ambaye hana head start.
Kwahiyo automatically uki- break the wall ukiwa unatoka katika umasikini lazima unakuwa umeeingiza katika VITA ya lazima na watu wanaomiliki keki.
So that's system , inakuwa ipo na (status quo) kuwa utasoma hapa , utaajiriwa pale na usipojiajiriwa utafanya aina Fulani za biashara au kazi .
End of the day ur enemy is not politicians but the system.
Wewe umeathirika na siasa hauwezi kujadili na kuelewa mambo kwa upanaNi kupe mfano.Ukiona mtoto anakukashifu au kukufanyia jambo usilo lielewa ukiwa kwao.fahamu kuwa wazazi wake wanakuongelea nini ulivyo.
Mifuni ni mingi.Mfano wale watoto wa usalama wa taifa mombo.
mtoto wa simba chawene.
mtoto wa jakaya alishawahi kufanya hyo
kwani siasa ni nini?.Wewe umeathirika na siasa hauwezi kujadili na kuelewa mambo kwa upana
Hapo juu nilichoandika ndo kitu sahihi na sijaandika kwa kukurupuka ila ni tafiti ambazo zipo tried proved and certified.
Ukiwa mfuasi wa siasa za Africa hauwezi a good thinker na kuelewa system inafanya vipi kazi.
Ur life 100% is ur responsibility , usije ukatarajia kuwa yupo politicians yeyote Atakuja kukusaidia kupata maendeleo.kwani siasa ni nini?.
Hivi wewe unaweza kuwa mfanyabiashara kweli.
Siasa ni maisha yako.Ukiambiwa leo mafuta yamepanda bei,mama yako kashindwa kutibiwa,nchi fulani zimeshindwa kukubari mazao yako.
Hapo ulitaka kuleta mpira.
Kweli Empty container kama ID yako