Pre GE2025 Umasikini, Ujinga, Yanga na Simba na kutojali ndio mitaji mikuu ya CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
4,548
Reaction score
11,901
UMASIKINI,huu ndio mtaji mkuu namha 1 kwa CCM na hawa watu hawako tiyali kuona umasikini unaisha Tanzania. Umasikini ni mtaji mkubwa sana hasa wakati wa kampeni, kuna watu huhongwa viberiti ka kule kwa Lukubi, na kuna raia huhonhwa Chumvi, ka kule Shinyanga.ili CVM iendelee kutawaka lazima masikini wawepo wa kutosha ili waweze kuhongwa.

UJINGA, combination ya umasikini na ujinga ni mbaya sana sasa bahati mbaya kwa Tanzania hivi vitu vinaenda pamoja, Tanzania ujinga ni mtaji mkubwa sana pia kwa CCM, kuna kiwango cha kutisha cha ujinga, na hii ndio inazaa vitu kama Uchawa na mambo ya kujikomba.Zambia na Malawi kuna umasikini sana ila hakuna ujinga,the same na Kenya kuna umasikini ila hakuna ujinga.Nchi zingine zina umasikini ila hazina ujinga ila Tanzania tuna combination,

YANGA na SIMBA, hizi timu mbili ni mtaji mkuu wa CCM, sasa ogopa sana combinatiina ya Ujinga, umasikini na mambo ya Yanga na Simba. Now day unaweza kita watu saa 12 asubuhi wako vijiweni wanabishana yanga na Simba, huku wakiwa na life gumu sana.hizi timu ni mtaji mkubwa sana kwa CCM.

KUTO KUJALI KWA RAIA,wambongo tukisha shiba wali maharagwe na tukisha kuwa na uwezo aa kumiliki usafiri wa mtumba tunaona mambo mengine hayatuhusu kabisa, Nchi inagawanywa ila kwa sbaabbu sisi tuna uwezo wa kula na kulaka tunaona hauatuhusu kabisa. Nchi inapigwa mnada lakini Raia tunaona hayatuhusu kabisa, kuna watu wanagawana utajiri wa nchi ila tunaoona hayatuhusu kabisa,hii ni mtaji kwa CCM.
 
Ni kweli lakini Yanga Bingwa tena msimu ujao na Aziz Ki haondoki. Kama umetumwa na MWASIBU kazi unayo.

Alisikika OyaOya.
 
Umesema ukweli kabisa mwamba!
 
Mkuu Mipira na michezo ni mpaka huko walikoendelea tena na mashabiki vichaa kuliko sisi.

Labda utoe sababu nyingine kk
 
Mleta uzi ana point msikilize vizuri halafu nenda mtaani ,my country sijui ni lini tutakaa sawa
 
Umesahau haya:- Kudanga, Kubeti na Koneksheni.

(Sijui unanielewa?)
 
Back
Top Bottom