Umasikini wa mtu unaanzia kichwani pake. Kama utani nilivyopoteza mtaji wangu wote kizembe

Unanikumbusha mbali saana!
Niliweka pesa mara ya kwanza bank crdb Kama 7m wakati naingia first year ilkuwa mfukoni nkibakiwa na laki moja naenda kudroo zingine tena kwa sku lazma niende bank mara 2 baada ya wiki moja tu nlikuta nna laki 4 bank
Haaaaa Haaaaa 😂 milion 7 ndani ya wiki ikaisha, hatari sana
 
Ilinitokeaga hiyo nikaamua kuuza wote nikaweka kuku wa nyama
Ufugaji ni balaa. Mm walinichanganganya ikabidi nianze kula mayai tu. Mpaka sasa naona faida kila yai linalopatikana nachukua yakifika mengi sana nauza, maswala ya kuhangaika na kukuza vifaranga nilishindwa maana vinahitaji ukaribu mkubwa.
 
Pia kuteketea kwa pesa
 
Ni thamani sio dhamani
 
Umenifanya nizidishe umakini maana nimeshaanza kushika shika pesa [emoji1787][emoji1787]
 
yaan binadamu tunatofautia sana asee mm sjawahi kuona raha ya papuch mzee. huwa nafanya ili niweze ku ejaculate bhas. huwa nashangaa mtu analia akiachwa.
Mr mutahaba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji3][emoji3].
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yani nmecheka sana hii story aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…