Umasikini wa mtu unaanzia kichwani pake. Kama utani nilivyopoteza mtaji wangu wote kizembe

Ila wanawake watamu jamani...mie nilishajiamulia wacha tuu nizike hela yangu kwenye papuchi maana ndio raha ya dunia na hizo hela zenye nukifa nktaziacha tuu so bora nifurahie maisha kwa kugegeda papuchi
Ukianza kuugua napo kuna raha yake na hua hawafi haraka unaugua weeee mpaka uhakikishe ile raha ya papuchi imelingana na maumivu ya ugonjwa
 
Huyu jamaa kama umemkumbuka kwenye ile story yeye na rafiki yake Agustino walivyoenda kwa mganga kutafuta utajiri utagundua kuwa huyu chalii ni mwandishi tu wa story na sio yaliyowahi kumkuta yeye.
Kumbe ndo huyu ile story ilibamba sana πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Ukianza kuugua napo kuna raha yake na hua hawafi haraka unaugua weeee mpaka uhakikishe ile raha ya papuchi imelingana na maumivu ya ugonjwa
Saula la kuugua mbona ukishalikubali wala halina shida sana....na tuugue mara ngapi ngapi
 
Mkuu incubator Sasa unapata Hadi kwa laki nne zipi
 
Pia bei za incubator nazo ni changamoto unakuta ya mayai 120 bei ni 450,000 . Halafu ya mayai 1000 ni 1.5m ,sasa kwa sisi wachumi ni bora ujichange tu ununue ya mayai mengi unakuta kunaunafuu kidogo
Zipo za Bei nafuu inategemeana na uwitaji wako
 
Bandiko la muda mrefu ila limebeba ujumbe unaoishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…