Umasikini wa mtu unaanzia kichwani pake. Kama utani nilivyopoteza mtaji wangu wote kizembe

Mitungiiii, mikasi na brantiii
 
Ndiyo ilikuwa tshirt imeandikwa pepsi na kwenye maandishi ya pepsi inawakawaka taa.

Sasa hivi anavizia nyumba ya urithi ya magomeni.
Msalimie sana Baraka, Harrison pamoja na Ebi
 
....Mkuu, Jeuri yote hii ilitokana na kuwa na shs Milioni Tano tu???
Nawaza kuwa ungepata shs Milioni 10 ungekuwaje?
Hakika ungenyea watu Vichwani Mkuu! Pole.
 
Hahahaha!
Wako wengi mbona vijana sisi tunamatatizo..!!! Umenikumbusha yupo mwingine Madale huku aliuza nyumba ya mama yake milioni 120/= akakimbilia Dubai kula raha na mabinti wa kiarabu karudi yupo apeche alolo kaishi kurudi na makanzu tu ya halili na picha za kwenye simu akiwa #burj khalifa nk. now yupo overstressed, maisha haya mmmh!!sio ya kuyachezea
 
Motivesheno Spika walimshika pabaya🤣🤣🤣
Aliyemwingiza chaka ndiye aliyekuwa anamuuzia vifaranga, na chakula akimhadaa eti wakianza kutaga mayai atakuwa anayanunua mwenyewe, ila ni lazima wawe wanakula chakula kutoka kwake. Daah binadam wabaya sana
 
Aliyemwingiza chaka ndiye aliyekuwa anamuuzia vifaranga, na chakula akimhadaa eti wakianza kutaga mayai atakuwa anayanunua mwenyewe, ila ni lazima wawe wanakula chakula kutoka kwake. Daah binadam wabaya sana
Hawana maana kabisa
 
Uzi mzuri wenye fundisho. Ungepata mshauri mzuri ungetoboa. Nidhamu ya pesa ni muhimu,. Una Bahati ulipotoa m moja mbele ya mwanamke aliyekubuhu , angekumaliza kwa kutumia mbinu zao.
 
Kilichopangwa kupotea lazima kitapotea tu, hata kama ungefanya jambo fulani tuseme kununua biashara ama kuendeleza hiyo mishe yako ya Ilala nakwambia pesa lazima ingezima tu.
Kweli mkuu haya mambo mengine yako nje ya uwezo wetu. Utafungiwa njia ya kupata elimu au kutoa sadaka ili majanga yakupate tu wala hutopata ushauri kutoka popote pale utafungiwa njia zote izo ili usinusurike na majanga na dhulma na mikosi. Hayo mambo yote yanapangwa kwa nguvu tusizoziona.

Hayo matumizi aliyotumia ni ya kishetani alikua kamzibiti na kamuacha baada ya kumaliza iyo pesa akili yake imerudi
 
Alianza na. Mradi mkubwa mno,
Ufugaji wa. Kuku sio mchezo Yan wakianza kufa wanaeza kufa wote. Yan usiombe
 
U Unaanza na Irene uwoya kabisa. Yule si anatumia naniliu
 
Mkuu hiyo ya kuku kwenda kutagia pale ambapo kuku mwingine anatagia, umenifurahisha sana maana wangu walikuwa na tabia hiyo yani kukiwa na mayai 10 yamelaliwa leo kesho unakuta nayai 14 pia unakuta wawili wanang'ang'ania kulalia sehemu 1....
Ilinitokeaga hiyo nikaamua kuuza wote nikaweka kuku wa nyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…