Umaskin na kupenda kwangu kumenifanya nikubaliane nae kwa kila alisemalo!!

Umaskin na kupenda kwangu kumenifanya nikubaliane nae kwa kila alisemalo!!

Pindima

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2011
Posts
347
Reaction score
82
Naomba mnisaidie japo ushauri!!
Nipo na girlfriend wangu huu ni mwaka wa tatu sasa tokea nasoma mpka hivi sasa naangaika kutafuta kazi, tatizo ni kwamba huyu mwenzangu nimegundua kuwa yupo na mtu mwengine na nilipomuuliza akajibu kuwa ni kweli lkn hakuna wanachofanya na anafanya yote hayo kwasababu mimi simpi chochote ktk mahitaji yake( si mapenzi) na kama nikimtimizia haoni sababu ya kuwa na hao wengine coz ananipenda( na naamini kweli ananipenda na anaonesha hilo)Sasa mwenzenu nipo kwenye mtihani mwanamke wangu namtaka ila roho nayo yaumia!!Naomben ushauri wenu ushauri wa maamuzi magumu!!!!
 
Aisee.
Yani UNAONA kabisa anakupenda wakati ana wa pembeni????!
Haya endeleeni kupendana hivyo hivyo mpaka siku utakapopata pesa ya kumtuliza.
 
Aisee.
Yani UNAONA kabisa anakupenda wakati ana wa pembeni????!
Haya endeleeni kupendana hivyo hivyo mpaka siku utakapopata pesa ya kumtuliza.

Mhh lizzy!! nishajua jibu lako asante!!
 
Dogo achana naye huyo hana mpango, kwani hakuna wanawake wengine duniani zaidi yake.
 
Kijana mbona sijawahi kuyasikia mashaka kama yako? mpaka hapo wewe umemuelewa vp? yani anakupenda wewe lakini pesa huna na anakua na huyo au hao hawapendi au hampendi lakini pesa wanayo? ivi unajitia zuzu au unajitia mpofu? na unasema kua anakupenda na wewe unajua kama anakupenda? mbona nna wasi wasi na moyo wako?
 
Dogo achana naye huyo hana mpango, kwani hakuna wanawake wengine duniani zaidi yake.

Huwa najiuliza hilo swali na huwa lanipa ujasili wa kuachana nae lkn mwisho wa siku hukubali matokeo!!mapenz haya!!
 
umpi chochote ameamua kutafuta mwingine sasa hapo upendo uko wapi ...endelea kutafuta chapaa ukipata naye atarudi
 
Dah, Hiyo itanoga zaidi iwapo utaoa halafu upigike.
 
Love is getting subjective in an annoying manner.Get your act right and be a man about it.Life is too short to dwell in a dead-end relationship.
 
Naomba mnisaidie japo ushauri!!
Nipo na girlfriend wangu huu ni mwaka wa tatu sasa tokea nasoma mpka hivi sasa naangaika kutafuta kazi, tatizo ni kwamba huyu mwenzangu nimegundua kuwa yupo na mtu mwengine na nilipomuuliza akajibu kuwa ni kweli lkn hakuna wanachofanya na anafanya yote hayo kwasababu mimi simpi chochote ktk mahitaji yake( si mapenzi) na kama nikimtimizia haoni sababu ya kuwa na hao wengine coz ananipenda( na naamini kweli ananipenda na anaonesha hilo)Sasa mwenzenu nipo kwenye mtihani mwanamke wangu namtaka ila roho nayo yaumia!!Naomben ushauri wenu ushauri wa maamuzi magumu!!!!

...unakijua anachotaka umtimizie?
 
Shauri lako ni gumu sana. Eti anakupenda lakini anaenda kwa mwingine ili apate mahitaji yake? Huo ndo upendo kwake? Hata kidogo. Halafu huyo anayemsaidia ni Shirika la Msalaba Mwekundu? Hapana.Huyo jamaa si atakuwa anammega? Huyu msichana hawzi kukuambia yote ataficha yale yanayoudhi. Kwa kuwa u karibu kumaliza masomo yako, tafuta mwingine, huyu wa sasa keshaenda arjojo kwako. Ni mwoga wa hali ngumu.
 
Mkuu hapo hakuna kitu kwani shukuru Mungu hilo limejitokeza mapema,da! ugumu wa kazi huu unaacha mshikaji anapata mateso,pole lakn mkuu
 
Sijui nikusaidieje ndugu yangu, ila nikuulize ni kitu gani ambacho umekipenda kwake na unahisi huwezi kukipata kwa mwingine ktk maisha yako yote? Kiufupi hapo unajichimbia kaburi mwenyewe, remember hiv chain of infection!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kapime kama bado hajakuambukiza UKIMWI, kama bado, basi utarajie hivi karibuni.
 
Back
Top Bottom