Masikini wana roho mbaya sana na chuki ambazo haziwasaidii kitu they hate more than they love themselvesKataa umaskini. Jiepushe na chuki.
Anaweza kupita mtu na gari yake nzuri tu kwa sababu huna ukajaa na chuki kali sana...
umenikumbusha quote flani hivi 'poor means lack of hope'Umasikini haufai.
Umasikini ni mindest Sio pesa.
Sasa wale watoto wa wanyonge na masikini itakuwaje tena?Umasikini haufai.
Umasikini ni mindest Sio pesa.
Billionaire mstaarabuRoho mbaya au chuki haina kipato, kuna matajiri wana chuki na roho mbaya na kuna masikini hawana chuki wala roho mbaya na kinyume chake.
Ipo siku dua zako zitatimia. Ila punguza bangi.Billionaire mstaarabu