THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Habari wanajukwaa.
In short niseme tu umaskin ni janga kwelikweli unavyoona CCM inaendelea kutawala leo ni kwa sababu ya umasikini tulionao, mimi huwa naamini mtu akiwa na Maisha sio ya kitajiri sana ila maisha flana standard anakua na uelewa automatically bila hata kupewa Elimu...kataa kwa Facts.
Wasanii wengi wameingia mikataba ya Ajab baada ya kupata fursa mwanzon wakaona maisha ndio haya hawakuwaza ya mbelen ila baada ya mda walivyo kuja kuelewa potential yao wakajua kua walipigwa.. mfano Harmonize.
The same kwa some players Samatta alikaa miaka Mingi sana pale Mazembe inasemekana baada ya kupewa zile hela aliona haya ndiyo maisha ila baadae akaja kuwaka sana na akawa akitaka kutoka Mazembe wanaomba Dau kubwa akaaanza kujuta.
Feisal alivyofika Yanga akapewa ule mkataba aliona maisha ndio haya hakuweka hata vipengele vya kua akifanya hiki Basi apokee bonus hizi na mshahara wake uwe unapanda alikuja kushituka alivyokuja kushine akaelewa kua alipigwa.
Taaasis..Ni simba..Hii Team iliteswa kwa kipindi na yanga wakat yupo Manji alivyokuja Mo hawakuwaza about siku za Mbelen itakuaje wakiwaka na wakawa moja ya Team zinazofatiliwa sana Africa...wakampa Mo Team hawakutaka hata kujua B20 zinawekwa wapi?
Cheki ya Benki gani?
Yani wao walijali tu Furaha yao ya siku hizo..
Wakajaziwa Mabango wakampa Cheo Mo cha Rais Wa Heshima ambacho hakieleweki hata ni cha kazi gani.
Leo wame fikia mafanikio wanafatiliwa kila pande za Africa hata wakipuyangawanajulikana hadi Uganda wamekuja kugundua kua kuna makosa mengi waliyumba..wameshituka sasa unasikia mara Mangungu anasema atatoa Pesa za Usajili yeye anajua saiv Mo hana power yoyote.
Wakat kuna Mda Mo alifikia mda akawa anaajiri hadi Kocha kwa hela zake,mara analeta Golikipa kwa pesa yake.
Saiv ndio wanashitukakua usajili ulitakiwa uwe unapitishwa na Bodi nzima ila wakat wana njaa hayo hawakutaka kujali walitaka Furaha tu hata mchezaji aletwe na Jaribu tena hawakujali..
For Sure..UMASKINI NI MZIGO MBAYA KULIKO HATA KUKOSA ELIMU.