Umaskini wa nchi za Afrika ni matokeao ya kukataa kukosolewa. Unapokosolewa ni afya kwa nchi yako. Kubali kukosolewa, badilika au achia ngazi

ZALEMDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
1,956
Reaction score
2,225
Kwa asilimia kubwa mimi nawakubari wazungu.kwanza wanatumia akili sana kutatua mataizo yao tofauti na sisi wa Africa tunaotaka mambo yetu yote yaamliwe na mizimu (babu zetu wa kale) au Muumba wa mbingu na nchi.katika maandiko matatakatifu tunaambiwa """ watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa ""HOSEA 4:6

Watawala wengi wa kizungu ukiwakosoa wanakubari makosa yao na kama hawawezi kukubari kubadirika basi huchua uamuzi wa kuachia ngazi.mfano mzuri kule Uingeleza tumeona mwaka huu nchi imepata Mawaziri wa kuu wa wili kwa sababu ya kukubari kuwajibika ,kukubari kukosolewa .

Ukiwa kiongozi kwenye nchi au kampuni au mahala pengine unapoona unakosolewa fahamu kuwa madhaifu yako yanakwamisha maendeleo ya nchi au kampuni au watu unaowaongoza.kukosolewa siyo kwamba unachukiwa au kudharauliwa bali watu wanataka ufanikiwe katika uongozi wako na wao wafaidhike kutokana na utawala wako.

Kama ukiona watu wanakupigia kelele fahamu ya kuwa wanaona kuwa madhaifu yako nikikwazo kwa maendeleo yao hivyo hawawezi kuacha kukukosoa. Kama unataka watu wako wapate maendeleo kutokana na uongozi wako huna budi kuyatengeneza yale wanayokuambia la sivyo unatakatiwa kujitafakali kama unastahili kuendelea kuwa kiongozi.
 
Kwa asilimia kubwa mimi nawakubari wazungu.kwanza wanatumia akili sana kutatua mataizo yao tofauti na sisi wa Africa tunaotaka mambo yetu yote yaamliwe na mizimu (babu zetu wa kale) au Muumba wa mbingu na nchi.katika maandiko matatakatifu tunaambiwa """ watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa ""HOSEA 4:6

Watawala wengi wa kizungu ukiwakosoa wanakubari makosa yao na kama hawawezi kukubari kubadirika basi huchua uamuzi wa kuachia ngazi.mfano mzuri kule Uingeleza tumeona mwaka huu nchi imepata Mawaziri wa kuu wa wili kwa sababu ya kukubari kuwajibika ,kukubari kukosolewa .

Ukiwa kiongozi kwenye nchi au kampuni au mahala pengine unapoona unakosolewa fahamu kuwa madhaifu yako yanakwamisha maendeleo ya nchi au kampuni au watu unaowaongoza.kukosolewa siyo kwamba unachukiwa au kudharauliwa bali watu wanataka ufanikiwe katika uongozi wako na wao wafaidhike kutokana na utawala wako.

Kama ukiona watu wanakupigia kelele fahamu ya kuwa wanaona kuwa madhaifu yako nikikwazo kwa maendeleo yao hivyo hawawezi kuacha kukukosoa. Kama unataka watu wako wapate maendeleo kutokana na uongozi wako huna budi kuyatengeneza yale wanayokuambia la sivyo unatakatiwa kijitafakali kama unastahili kuendelea kuwa kiongozi.
Kweli kabisa mkuu nmekuelewa na hali hiyo imesababisha mambo mengi kwenda ndiyo sivyo
 
WATAWALA WA AFRIKA UWEZO WA KUONGOZA NCHI NI MDOGO WANAPOKOSOLEWA WANAHISI wanataka KUPINDULIWA
 
Afrika wanaamini kuwa mtu hata ukiwa mjinga, ukipata madaraka ghafla unakuwa na akili kuliko watu wote
 
Back
Top Bottom