Elections 2010 Umati wa watu sio Kigezo

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
18,804
Reaction score
12,227
Nimejaribu kufatilia blogs, magazeti, tv nyingi, mitundiko yao yame-base sana kwenye umati wa watu., ili kujaribu kuwahadaa wananchi kuwa,chama husika kinapendwa.

TBC wao hawaonyeshi kwa sana,upande wenye umati mkubwa,hususani wa vyama vya upinzani, hivyo huishia kuonyesha close up clips tu.

Nimegundua kuwa, mkusanyiko mkubwa unategemea burudani itakayokuwepo, na si upenzi au ukereketwa wa chama.
Hata fiesta nayo ilikua inafurisha watu kila ilipokuwa imeweka kambi.

Pics hizi chini,ni za uzinduzi wa Tigo pesa-mbeya,zilizofanyika juzi.

Picha hizo zingeweza kutumika kama mtaji wa kisiasa,na kutundikwa kwenye front page za magazeti ili kuwahadaa wananchi,ikiwa umati huwa ungekuwa kwenye kampeni.











Pia nimeshtukia baadhi ya tv kutuchanganyia na kurudia matukio/clips ili tuamini umati flani ulikuwepo siku ya tukio, kumbe sio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…