Umauti huifika nafsi au mwili?

Umauti huifika nafsi au mwili?

Panctuality

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2019
Posts
775
Reaction score
1,150
Habarini wanaJF

Nahitaji kujua kipi ndio huonja au hufikwa na umauti kati ya mwili au nafsi? maana ishazoeleka ikitamkwa "kila nafsi itaonja umauti" ili hali mwili ndio hupoteza uwezo wake kiutendaji pale unapofikwa na umauti au kama kauli hiyo ipo sahihi basi ni nini tafsri yake.

Nitashukuru kwa ufumbuzi juu ya hilo
 
Back
Top Bottom