umbali wa shule na mahali anapoishi mwanafunzi unachangia kufeli kwa wanafunzi

umbali wa shule na mahali anapoishi mwanafunzi unachangia kufeli kwa wanafunzi

twenty2

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
296
Reaction score
32
Ni kweli kwasababu utakuta mtoto anakaa tabata na shule anasomea posta kwa umbali anaoutumia kwa kwenda shule na kurudi nyumbani anachoka anakosa ata mda wa kujisomea na ndio kinachosababisha kufeli kwa wanafunzi kwenye mitihani yao.
 
Back
Top Bottom